G Sam
JF-Expert Member
- Apr 20, 2013
- 11,555
- 35,880
Sina kumbukumbu sahihi lakini wale faru tuliambiwa walikuwa 12 lakini ghafla wakaongezeka zaidi ya mara 6 kwa kipindi cha miaka mitatu ya Kigwangalla. Hapa hadi tukamjua faru rajabu.
Leo tumeambiwa kuwa tausi wa ikulu waliletwa na baba wa taifa (zaidi ya miaka 30 iliyopita) na mpaka Jakaya Kikwete anaondoka madarakani walikuwa 304. Leo Gerson Msigwa katueleza kuwa toka mwaka 2015 hadi leo (miaka minne) wamefika tausi zaidi ya 2800 yani tausi zaidi ya 2500 wameongezeka.
Hivi kwa awamu hii ni maajabu gani yanafanyika?
Halafu JK kimtindo kama hapendi uzushi vile. Au leo hamjamuangalia vizuri wadau?
Au walikuwa hawapewi msosi wa maana?