Hili la kutoka tausi 304 kwa miaka zaidi ya 30 halafu ghafla kwa miaka minne wanazaliana tausi zaidi ya 2800 nalo linahitaji mjadala

G Sam

JF-Expert Member
Apr 20, 2013
11,555
35,879
Sina kumbukumbu sahihi lakini wale faru tuliambiwa walikuwa 12 lakini ghafla wakaongezeka zaidi ya mara 6 kwa kipindi cha miaka mitatu ya Kigwangalla. Hapa hadi tukamjua faru rajabu.

Leo tumeambiwa kuwa tausi wa ikulu waliletwa na baba wa taifa (zaidi ya miaka 30 iliyopita) na mpaka Jakaya Kikwete anaondoka madarakani walikuwa 304. Leo Gerson Msigwa katueleza kuwa toka mwaka 2015 hadi leo (miaka minne) wamefika tausi zaidi ya 2800 yani tausi zaidi ya 2500 wameongezeka.

Hivi kwa awamu hii ni maajabu gani yanafanyika?

Halafu JK kimtindo kama hapendi uzushi vile. Au leo hamjamuangalia vizuri wadau?

Au walikuwa hawapewi msosi wa maana?
 
Huu uzi bila video ili tuone body language ni ngumu kuuchangia, hasa ukizingatia sisi wengine hatukuiona hotuba.
 
Kwani hukusikia kuwa JK alimshauri mambo ya kutotolesha mayai kwa incubator? Maana kabla ya kutumia incubator, tausi mmoja alitaga mayai 25 lakini akatotoa mayai mawili pekee. Sasa mjadala unataka uwe kuhusu utotoaji wa bila incubator(asili) dhidi ya utotoleshaji kwa kutumia incubator upi ni mzuri?
 
Sina kumbukumbu sahihi lakini wale faru tuliambiwa walikuwa 12 lakini ghafla wakaongezeka zaidi ya mara 6 kwa kipindi cha miaka mitatu ya Kigwangalla. Hapa hadi tukamjua faru rajabu.

Leo tumeambiwa kuwa tausi wa ikulu waliletwa na baba wa taifa (zaidi ya miaka 30 iliyopita) na mpaka Jakaya Kikwete anaondoka madarakani walikuwa 304. Leo Gerson Msigwa katueleza kuwa toka mwaka 2015 hadi leo (miaka minne) wamefika tausi zaidi ya 2800 yani tausi zaidi ya 2500 wameongezeka.

Hivi kwa awamu hii ni maajabu gani yanafanyika?

Halafu JK kimtindo kama hapendi uzushi vile. Au leo hamjamuangalia vizuri wadau?

Au walikuwa hawapewi msosi wa maana?
Zidisha hao tausi kwa mayai wanayotaga.......usiogope bwashee!
 
Mbona nimesikia walikuwa 300 sasa hivi WAPO 600
 
Kwani hukusikia kuwa JK alimshauri mambo ya kutotolesha mayai kwa incubator? Maana kabla ya kutumia incubator, tausi mmoja alitaga mayai 25 lakini akatotoa mayai mawili pekee. Sasa mjadala unataka uwe kuhusu utotoaji wa bila incubator(asili) dhidi ya utotoleshaji kwa kutumia incubator upi ni mzuri?
Ukiwa mpinzani hata uambiwe haya ni mavi huwezi kukubali mpk uyalambe tu
 
Sina kumbukumbu sahihi lakini wale faru tuliambiwa walikuwa 12 lakini ghafla wakaongezeka zaidi ya mara 6 kwa kipindi cha miaka mitatu ya Kigwangalla. Hapa hadi tukamjua faru rajabu.

Leo tumeambiwa kuwa tausi wa ikulu waliletwa na baba wa taifa (zaidi ya miaka 30 iliyopita) na mpaka Jakaya Kikwete anaondoka madarakani walikuwa 304. Leo Gerson Msigwa katueleza kuwa toka mwaka 2015 hadi leo (miaka minne) wamefika tausi zaidi ya 2800 yani tausi zaidi ya 2500 wameongezeka.

Hivi kwa awamu hii ni maajabu gani yanafanyika?

Halafu JK kimtindo kama hapendi uzushi vile. Au leo hamjamuangalia vizuri wadau?

Au walikuwa hawapewi msosi wa maana?
Kwahiyo hujaelewa nini sasa?au tu hutaki kuamini kuwa awamu hii wamefanya kitu ili Tausi waongezeke...?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwamba awamu zilizopita walikuwa wanatupiga Tausi zetu au?
 
  • Thanks
Reactions: rr3
Kwani hukusikia kuwa JK alimshauri mambo ya kutotolesha mayai kwa incubator? Maana kabla ya kutumia incubator, tausi mmoja alitaga mayai 25 lakini akatotoa mayai mawili pekee. Sasa mjadala unataka uwe kuhusu utotoaji wa bila incubator(asili) dhidi ya utotoleshaji kwa kutumia incubator upi ni mzuri?
Usipoteze muda wako mkuu. Hawa waneishiwa hoja wamebaki na kupinga kila jambo. Ipo siku watapinga kuwa Mbowe si mwenyekiti wa nyumbu
 
Back
Top Bottom