Uchaguzi 2020 Hili la kupita bila ƙupingwa ni ƙumnƴima Mwananchi haki ƴaƙe ƴa ƙumpigia ƙiongozi anaƴemtaƙa

Gmox

JF-Expert Member
Mar 31, 2014
318
475
Salaam,

Leo asuɓuhi mapema nimewahi ƙituoni nilipojianɗiƙishia ƙupiga ƙura, nilipoliona jina langu niƙapanga foleni ƙusuɓiri miongozo ƴa wasimamizi, Ɓaaɗa ƴa muɗa msimamizi aƙatutangazia utaratiɓu na ƙutuamɓia hapa ƙuna ɓox 2 tu ƴaani ƴa mɓunge na Rais watu haaaaaa na ƴa ɗiwani vipi tuƙaamɓiwa huƴo ƙatiƙa ƙata ƴetu amepita ɓila ƙupingwa. Watu waƙaɓaƙi ƙunung'uniƙa na wengine waƙasema ƙwanini ƙusingeƙuwa na ƙura ƴa hapana ƙwaajili ƴa hao wanopita ɓila ƙupingwa?

Hii ni wazi huƴo ƙiongozi hatachaguliwa na wananchi ilo hatuƙatai ila sasa huƴo ƙiongozi atawajiɓiƙa ƙwa nani iƙiwa mwananchi anaƴepaswa ƙumwongoza haƙumpigia ƙura wala ƙumchagua? Ƙunahaja ƴaƙuliangalia hili maana huƴo mgomɓea anaƙuwa ameƙosa hata ƙura ƴaƙe mwenƴewe, na hii si haƙi ƙwa haƙiƙa.

ƘIFUPI HUU UCHAGUZI UMEVURUGWA ƘWENƳE HILI LA ƘUPITA ƁILA ƘUPINGWA ƳAFAA LIPITIWE ILI LISIRUƊIWE TENA KWENƳE CHAGUZI ZIJAZO.

Nawasilisha
 
Back
Top Bottom