Hili la Kujaziwa Laki Nane kwa kila Mteja wa Voda M-Pesa Limekaaje??

Ngaliba Dume

JF-Expert Member
Oct 6, 2010
1,710
3,669
Jana majira ya jioni nilitaka kutoa Kiasi cha Pesa kwa njia ya M-pesa,katika kuangalia salio nikakuta ongezeko la laki nane ktk kiasi kilichokuwepo!Nilijaribu kukitoa lakini hazitoki...nimefanya uchunguzi kidogo kwa watu wangu wa karibu kama 10 nimebaini kuwa na wao wameongezewa kiasi hicho!Je wenye kujua hili watwambie?na kwanini hazitoki?je yawezekana kuna mtu ameamua kuingia ubia na Voda kwa kutunza pesa kwa njia ya akaunti za wateja?Mteja ni Mfalme,Voda wanawajibika kutujuza....(wengine kidogo watie heshma cr wakidhani zali la mentari)
 
Hata me nimelishuhudia lkn ukipiga *150*55# ndo naziona lkn hazitoki sijui imekaaje hii!
 
Back
Top Bottom