Hili la kufundishwa na lecturers wazee vyuoni liangaliwe upya

uncledalali

JF-Expert Member
Jan 10, 2014
249
115
Siku hizi vyuoni suala la kuwa na malecturer vikongwe yaani wazee kupitiliza limekuwa lakawaida. Utakuta lecturer mzee ata kuona ni shida, kusimama muda mrefu hawezi. Sasa unajiuliza mtu wanamna iyo ataweza kweli kudeliver somo vizuri ?? Jamani ata kama kuna uhaba wa lecturer tusifikie huko
Nawasilisha
 
Unasoma mwaka wa ngapi ndugu?
 
Nazungumzia wazee kupindukia yaani akisimama mbele hadi unamuonea huruma, unawaza asije kuanguka bure pale mbele
 
Nazungumzia wazee kupindukia yaani akisimama mbele hadi unamuonea huruma, unawaza asije kuanguka bure pale mbele

Nikuulize swali tu. We ni me au ke? Nadhani kwa uzoefu wangu mdogo tu hivyo unavyo viita vizee ndo vinaweza kutoa haki kuliko hao vijana. Mtakumbana kwa demu wako na kuanzishiana visasi.
 
Vijana wanagegeda sana hlfu wanapenda kutoa sap na kucomplicate haya Ds unaweza kukuta sap 300+ wazee wana mambo mengi ys kufnya wanaandaa ratiba yao vzur
 
Nilifundishwa QM mwaka wa pili na lecture mmoja hivi anaitwa Mr Ndille alikuwa anatema hesabu vibaya mno. Na alikuwa 70+
 
Back
Top Bottom