Hili la kufikisha miaka 55 ndio uchukue mafao imekaaje?

pingu mkoka

JF-Expert Member
Dec 10, 2013
434
110
Salam wakuu,nimeenda nssf kufata mafao yangu ya miaka7 nimeambiwa mpka nifikishe miaka 55 ndo nichukue.naombeni msaada kwa anayejua,bado hata35 yrs sjafikisha.
 
Salam wakuu,nimeenda nssf kufata mafao yangu ya miaka7 nimeambiwa mpka nifikishe miaka 55 ndo nichukue.naombeni msaada kwa anayejua,bado hata35 yrs sjafikisha.
Tafuta Wakili mfungue kesi kuwa wakati wewe unaingia NSSF mlikubaliana fao la kujitoa kwa hiyo unapinga maamuzi haya kwa sababu sheria hairuhusu kurudi nyuma bali ilitakiwa kuanza na waajiriwa wapya
 
Kila kitu lazima kipewe sababu ili kuendana na mazingira, ndio maana hata nyanya zikijaa sokoni wanatangaza ni ofa kwa sado sh. 1,500/- huku wao wakijua bila kufanaya hivyo zitawaozea.
Sasa unadhani kama pesa zimekuwa diverted na haziripiki watafanyaje mbali na kujipa muda ili wausome mchezo!
 
Back
Top Bottom