Hili la kuapisha Viongozi wa Serikali kibarazani nyumbani kwa Rais limekaaje?

Kusema ukweli Rais Magufuli katupanda watanzania. Sasa kafikia hatua ya kuapisha viongozi wa nchi katika makazi yake binafsi.

Binafsi hii siyo sawa kabisa kimaadili. Hii nchi imekuwa mali binafsi?

This is just too much. Kwanini asiapishe viongozi huko Ikulu Dodoma ama Dar?Ama hapo ikulu ndogo Geita ama ikulu ndogo ama ofisi za serikali hapo Chato?
Wewe unawajua watu wa huko? Tutajuta kwa kuendekeza sie sie M.
 
Kavunja sheria ipi?

Ni wapi pameandikwa Rais lazima afanye uapisho Dom au Dar tu?
 
Tatizo sio Rais wala serikali. Tatizo ni wananchi wenyewe. Ni mambumbumbu mpaka yamepitiliza.

Sent using Jamii Forums mobile app

Tatizo sio watu, kinachotakiwa mje na kifungu cha katiba kilichovunjwa, je kufanya shughuli za serikali nje ya ofice ya ikuru ni kosa au mwisho wa madaraka ya raisi akiwa nje ya nchi, hujui anaweza kutengua na kuteua vilevile akiwa huko
 
Hakika JPM leo ukiitazama ile hotuba yake utagundua jinsi alivyo na wasiwasi. Anajifanya haogopi corona na kuponda viongozi wa dini waliofunga makanisa pamoja na chadema kutoingia bungeni. Halafu anajifanya ni mcha Mungu tena na inaovyoonesha Chato hatoki leo wala kesho. "Tuna rais wa ajabu kwelikweli"
 
Kusema ukweli Rais Magufuli katupanda watanzania. Sasa kafikia hatua ya kuapisha viongozi wa nchi katika makazi yake binafsi.

Binafsi hii siyo sawa kabisa kimaadili. Hii nchi imekuwa mali binafsi?

This is just too much. Kwanini asiapishe viongozi huko Ikulu Dodoma ama Dar?Ama hapo ikulu ndogo Geita ama ikulu ndogo ama ofisi za serikali hapo Chato?

Ukiambiwa ulete kifungu cha sheria iliyovunjwa utasubili kusikia kwa mbowe au zito wanasemaje wakati katiba ipo pia kwa lugha ya kiswahili kasome kisha utuletee
 
Ukiambiwa ulete kifungu cha sheria iliyovunjwa utasubili kusikia kwa mbowe au zito wanasemaje wakati katiba ipo pia kwa lugha ya kiswahili kasome kisha utuletee
Ndo maana nikasema kimaadili.
 
Back
Top Bottom