demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,250
- 15,116
- Thread starter
- #41
Inaonekana uko mbali sana na watu wa mpira katika nchi yako.Hakuna cha Common sense hapo ni umbea tu! Kwani bench la ufundi halina watu wake na taratibu zake za kushughulikia mambo haya mpaka wewe mtu uliyeokoteza kijiweni uje kulianika hapa?? Kiherehere ni kitu kibaya sana aisee!
Sasa hebu chukua hii huenda ikakusaidia hapo baadaye. Yafuatayo ni baadhi ya majukumu ya Team Manager wa Taifa Stars(Nadir Haroub):-
1. Overseeing the daily operations of one section within a national team set-up.
2. Supporting a team with training and other eqquipments neccesary for perfomance improvement
3. Identify and communicating with TFF where there is a shortage in requirements needed for improving preparation and training.
4. Develop proper relationships between players and the entire technical bench.
5. Prepare and complete the necessary preparations as the team progresses to the respective matches.
6. Prepare a regular training report and submit it to the relevant department within the football federation (TFF).
Nimekuwasilishia chache tu hizo yakupasa uzifahamu. Ili baadaye unapokuwa una jadiri uweze kujadiri kwa hoja za msingi.