demigod
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 8,250
- 15,116
Leo nilikiwa napitia pitia mitandao ya Kijamii kutazama nani kamuongeza nani kwenye orodha yake ya Usajili..
Sana sana nilikiwa nikihitaji kutambua hivi vilabu vya chini kabisa.
Ila kwa bahati nzuri/mbaya nikakutana na mjadala mzito sana kuhusu usajili wa Emmanuel Okwi. Mengi yakawa yanaongelewa kuhusu Uwezo wake kwa sasa, na kipindi chote alichowahi kuwa na simba.
Jambo la kushangaza zaidi ni pale nilipoanza kufuatilia mafanikio yake akiwa hapa Tanzania, hasa alipokuwa anachezea Klabu yake ya Simba. Nilichokuja kugundua ni kwamba Okwi ni mchezaji asiye na mafanikio makubwa sana ya kujivunia na hata kuwafikia wachezaji baadhi wa Yanga kama Dida, Yondani, Msuva, Tambwe, Niyonzima, Abdul, Kamusoko . hawa ni nusu ya kikosi cha kwanza cha Yanga.
Pia nilichokuja kugundua ni kwamba mafanikio yake yako sawa na vijana chipukizi kama wakina Mwashiuya na KESSY.
Nilipo Jaribu kudodosa swali kwa shabiki nguli wa simba, naye hakuweza kuainisha mafanikio ya Okwi aliyoyapa na kuisaidia timu yake kupata....
Mashabiki wengi wa simba SC wameonekana kuzingatia magoli ambayo Okwi amewafunga Yanga kama Ndio mafanikio yake kwa misimu yote minne aliyoichezwa klabu yake simba.
Ikumbukwe kuwa kwa kipindi chote alichochezea Simba, OKWI ameifungia Simba mabao 4 tu dhidi ya Yanga.
Nikijaribu kuvuta maktaba ya Twakimu naona misimu 4 ambayo yote aliyopata kuichezea simba na kushindwa kuisaidia klabu yake kuwa Bingwa, na misimu yote minne aliyoichezea simba (chakishangaza zaidi) Yanga amebeba Ndoo mara 3.
Rekodi za misimu minne (4) akicheza Simba, Yanga kabeba Ndoo mara nyingi zaidi.
Msimu 2010/11 alikuwepo simba - Yanga akbeba VPL.
Msimu 2011/12 alikiwepo simba - Simba akabeba VPL.
Msimu 2012/13 alikiwepo simba - Yanga akabeba VPL.
Msimu 2014/15 alikiwepo simba - Yanga akabeba VPL.
Wengi wamekuwa wakisema Ohh Okwi mkali kumbe ukali wake sio kama wa Amis Tambwe ama Saimon Msuva. ( Ukali wa kuiwezesha Klabu kutwaa MATAJI makubwa ya VPL)
Bali ukali wake ni kuifunga Yanga magoli 4 tu kwa misimu yote aliyowahi kuichezea Simba.