Hili la Emmanuel Okwi na mashabiki wa Simba limenichekesha sana!.

Kuna watu simba itawakondesha maana hamlali kazi umbea tu.. Sasa kama simba wameingia cha kike si ndo ufurahi hutakuwa na mpinzani...
 
Mimi sitasahau alivyoibeba simba kule uarabuni kwa goli la nje ya18 dk ya93
 
Acha ubashite wewe mtoa post, unaposema Okwi kafunga magoli manne tuu. Af unakaziiia, mbona hujatuletea rekodi mchezaj anayeongoza kuifunga simba tangu ianzishwe kafunga goli ngapi, acha kuaminisha Okwi kafunga magoli machache wakati anayeongoza hajazidi hata magoli6 [HASHTAG]#ACHAfikraZaKIBASHITE[/HASHTAG] wewee..
 
Back
Top Bottom