Hili la Emmanuel Okwi na mashabiki wa Simba limenichekesha sana!.

demigod

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
5,249
2,000
Leo nilikiwa napitia pitia mitandao ya Kijamii kutazama nani kamuongeza nani kwenye orodha yake ya Usajili..

Sana sana nilikiwa nikihitaji kutambua hivi vilabu vya chini kabisa.
Ila kwa bahati nzuri/mbaya nikakutana na mjadala mzito sana kuhusu usajili wa Emmanuel Okwi. Mengi yakawa yanaongelewa kuhusu Uwezo wake kwa sasa, na kipindi chote alichowahi kuwa na simba.

Jambo la kushangaza zaidi ni pale nilipoanza kufuatilia mafanikio yake akiwa hapa Tanzania, hasa alipokuwa anachezea Klabu yake ya Simba. Nilichokuja kugundua ni kwamba Okwi ni mchezaji asiye na mafanikio makubwa sana ya kujivunia na hata kuwafikia wachezaji baadhi wa Yanga kama Dida, Yondani, Msuva, Tambwe, Niyonzima, Abdul, Kamusoko . hawa ni nusu ya kikosi cha kwanza cha Yanga.

Pia nilichokuja kugundua ni kwamba mafanikio yake yako sawa na vijana chipukizi kama wakina Mwashiuya na KESSY.

Nilipo Jaribu kudodosa swali kwa shabiki nguli wa simba, naye hakuweza kuainisha mafanikio ya Okwi aliyoyapa na kuisaidia timu yake kupata....
Mashabiki wengi wa simba SC wameonekana kuzingatia magoli ambayo Okwi amewafunga Yanga kama Ndio mafanikio yake kwa misimu yote minne aliyoichezwa klabu yake simba.

Ikumbukwe kuwa kwa kipindi chote alichochezea Simba, OKWI ameifungia Simba mabao 4 tu dhidi ya Yanga.

Nikijaribu kuvuta maktaba ya Twakimu naona misimu 4 ambayo yote aliyopata kuichezea simba na kushindwa kuisaidia klabu yake kuwa Bingwa, na misimu yote minne aliyoichezea simba (chakishangaza zaidi) Yanga amebeba Ndoo mara 3.

Rekodi za misimu minne (4) akicheza Simba, Yanga kabeba Ndoo mara nyingi zaidi.

Msimu 2010/11 alikuwepo simba - Yanga akbeba VPL.
Msimu 2011/12 alikiwepo simba - Simba akabeba VPL.
Msimu 2012/13 alikiwepo simba - Yanga akabeba VPL.
Msimu 2014/15 alikiwepo simba - Yanga akabeba VPL.

Wengi wamekuwa wakisema Ohh Okwi mkali kumbe ukali wake sio kama wa Amis Tambwe ama Saimon Msuva. ( Ukali wa kuiwezesha Klabu kutwaa MATAJI makubwa ya VPL)

Bali ukali wake ni kuifunga Yanga magoli 4 tu kwa misimu yote aliyowahi kuichezea Simba.
 
Che mittoga

JF-Expert Member
Mar 28, 2017
5,097
2,000
Labda niseme.
Nilivyofanya kautafiti kadogo,
Washabiki wa Simba au Yanga huwa
Wanafurahi zaidi timu zao zikiifunga timu pinzani kuliko hata kuchukua ubingwa wa taifa.
Simba ikiifunga Yanga ndio tukio pekee linalo pandisha fulaha hadi washabiki wanakufa.
Pia tukio la timu kufungwa na mpinzani husababisha huzuni kubwa hadi washabiki kufa.
Ukisikia goooo....ujue Yanga kafa mtu na Simba kafa mtu.
Simba ikifungwa na timu za nje kama TP Mazembe ni jambo la kawaida tu.
Yanga nao wakipoteza kimataifa hua hakunaga shida kabisa
Jambo hili linafanya hizi timu kuweka nguvu kubwa ilimuradi wanfunge mpizani wao.
Kwa timu ya Simba, Emmanueli Okwi ni muarubaini wa kufikia lengo la kuifunga Yanga.
Nakumbuka enzi za Ngasa akichezea Yanga, Simba ilifungwa goli tatu, mshabiki wa Simba akakata roho, dakika za mwisho Simba ikasawazisha goli zote tatu, mshabiki wa Yanga akaaga dunia.
Mechi ya mwisho Simba iliifunga yanga goli 2 : 1, goli la ushindi la Kichuya liliua mshabiki wa Simba huko Kilosa Morogoro.
Mshabiki alifurahi sana hadi pumzi ikakatika.
Furaha ya hizi timu ni moja kuifunga nyingine na ndio lengo la usajiri tunaouona.
 
Nifah

JF-Expert Member
Feb 12, 2014
26,735

Yani mimi ipo siku Yanga itaniua jamani! Hasa pale tunapofikia hatua ya matuta huwa ni-dhohoful khali.
 
lusban

JF-Expert Member
Mar 7, 2013
657
500
Leo nilikiwa napitia pitia mitandao ya Kijamii kutazama nani kamuongeza nani kwenye orodha yake ya Usajili..

Sana sana nilikiwa nikihitaji kutambua hivi vilabu vya chini kabisa.
Ila kwa bahati nzuri/mbaya nikakutana na mjadala mzito sana kuhusu usajili wa Emmanuel Okwi. Mengi yakawa yanaongelewa kuhusu Uwezo wake kwa sasa, na kipindi chote alichowahi kuwa na simba.

Jambo la kushangaza zaidi ni pale nilipoanza kufuatilia mafanikio yake akiwa hapa Tanzania, hasa alipokuwa anachezea Klabu yake ya Simba. Nilichokuja kugundua ni kwamba Okwi ni mchezaji asiye na mafanikio makubwa sana ya kujivunia na hata kuwafikia wachezaji baadhi wa Yanga kama Dida, Yondani, Msuva, Tambwe, Niyonzima, Abdul, Kamusoko . hawa ni nusu ya kikosi cha kwanza cha Yanga.

Pia nilichokuja kugundua ni kwamba mafanikio yake yako sawa na vijana chipukizi kama wakina Mwashiuya na KESSY.

Nilipo Jaribu kudodosa swali kwa shabiki nguli wa simba, naye hakuweza kuainisha mafanikio ya Okwi aliyoyapa na kuisaidia timu yake kupata....
Mashabiki wengi wa simba SC wameonekana kuzingatia magoli ambayo Okwi amewafunga Yanga kama Ndio mafanikio yake kwa misimu yote minne aliyoichezwa klabu yake simba.

Ikumbukwe kuwa kwa kipindi chote alichochezea Simba, OKWI ameifungia Simba mabao 4 tu dhidi ya Yanga.

Nikijaribu kuvuta maktaba ya Twakimu naona misimu 4 ambayo yote aliyopata kuichezea simba na kushindwa kuisaidia klabu yake kuwa Bingwa, na misimu yote minne aliyoichezea simba (chakishangaza zaidi) Yanga amebeba Ndoo mara 3.

Rekodi za misimu minne (4) akicheza Simba, Yanga kabeba Ndoo mara nyingi zaidi.

Msimu 2010/11 alikuwepo simba - Yanga akbeba VPL.
Msimu 2011/12 alikiwepo simba - Simba akabeba VPL.
Msimu 2012/13 alikiwepo simba - Yanga akabeba VPL.
Msimu 2014/15 alikiwepo simba - Yanga akabeba VPL.

Wengi wamekuwa wakisema Ohh Okwi mkali kumbe ukali wake sio kama wa Amis Tambwe ama Saimon Msuva. ( Ukali wa kuiwezesha Klabu kutwaa MATAJI makubwa ya VPL)

Bali ukali wake ni kuifunga Yanga magoli 4 tu kwa misimu yote aliyowahi kuichezea Simba.
Utawaweza hawa majirani zetu.
Habari za fifa zimeisha sasa usajili wa kutafutia kiki.
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
36,979

Huu muda unaohangaika na masuala ya Simba SC nadhani ungeutumia kwa kuanza kutembeza Bakuli la Harambee kwa Wana Yanga FC wenzio ili muweze kupata Hela za kuwalipa Mishahara Wachezaji wenu ambao hadi sasa wanaidai Yanga mishahara ya miezi mitatu na hata Simon Msuva amethibitisha hili ungekuwa umefanya jambo moja la maana mno kuliko kila mara unakuja na uzi humu JF za kumuongelea mtu ambaye miaka mitatu minne nyuma alikufanya vibaya sana pale Taifa ambapo alikubandua Goli zake mwenyewe 2 kati ya zile zingine 3 ulizobanduliwa nazo na ambazo kimahesabu zilihitimisha jumla ya magoli matano kwa bila yaani 5 - 0 ( Simba SC 5 na Yanga FC 0 )
 
demigod

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
5,249
2,000
Rage hakukosea kuwaita mbumbumbu fc
Unafikiri alikosea basi, hakukose!

Si umeona Manara alivyo waimbisha mziki wa Rufaa FIFA?
Wenyewe wamekesha wiki nzima humu wakitegemea kuna Rufaa FIFA.

Juzi yule Popo kasema anaenda mwenyewe FIFA, mwisho wa siku nimekutana naye kwenye Migahawa ya Masaki.

Sasa hivi wamepewa danganya toto nyingine(Emmanuel Okwi), ili walisahau mazima suala la FIFA.

Mashabiki wa SIMBA wanajua kwenda na mdundo wa viongozi wao!
 
demigod

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
5,249
2,000
Huu muda unaohangaika na Wana Yanga FC wenzio ili muweze kupata Hela za kuwalipa Mishahara Wachezaji wenu ambao hadi sasa wanaidai Yanga mishahara ya miezi mitatu na hata Simon Msuva amethibitisha hili ungekuwa umefanya jambo moja la maana

Nakumbuka nimeshawahi kukuQuote kukujibu Hoja ya Dolale pale Jangwani.

Nikasema kuwa kwa Caliber ya wachezaji wa Yanga SC, hata usipo wapa mishahara yao ya miezi 8 wanauwezo wa Kufanya perfect Deliverance ya matokeo Uwanjani....

Hili limethibitishwa last season.

Mlivyomnyima mshara Mkude wa mwezi 1 wachezaji wenu "decided to blow that 8 points lead ".

Suala letu la Dolale ni tofauti sana na huko Mikiani FC.....
 
demigod

JF-Expert Member
Jan 2, 2015
5,249
2,000
kumuongelea mtu ambaye miaka mitatu minne nyuma alikufanya vibaya sana pale Taifa ambapo alikubandua Goli zake mwenyewe 2 kati ya zile zingine 3 ulizobanduliwa nazo na ambazo kimahesabu zilihitimisha jumla ya magoli matano kwa bila yaani 5 - 0 ( Simba SC 5 na Yanga FC 0 )[/FONT]Hapo ndipo tunasema kuna Tofauti kubwa sana kati ya "Mabingwa wa kihistoria wa LigiKuu Tanzania bara" na "Wasakatonge wa pale Msimbazi".

Kwa jinsi tu ulivyoitaja hiyo miaka "mitatu" au "minne" na kuyataja mafanikio yenu kwa kipindi hiko una reflect nilichokijadili kwenye Uzi Mkuu.

wakati hiyo miaka 3, 4 uliyoitaja hapo juu unaonekana kujivunia kwa goli 5 tu ambazo Simba kaifunga Yanga....

Ila mwana Jangwani atakuhesabia "NDOO 3 ZA VPL" alizobeba kwenye muda huo...

Kubari tu Mkuu, kuna tofauti kubwa sana kati yangu na wewe!

Siko kwenye hadhi ya kujivunia goli 5 wakati Mimi ndio wa kwanza kabisa kukutandika bao 5.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom