Tunahitaji elimu bure au elimu bora?
Sasa hivi watoto wengi wanamaliza sekondari kuliko miaka iliyopita. Na serikali imekuwa ikijitapa katika kufanikisha hilo. Wakati idadi inaongezeka kwa kasi, ghafla elimu ikawa bure.
Wakati bado kuna uhitaji mkubwa wa walimu, ajira zao zikasitishwa. Kwa sasa hivi, tunazalisha wasomi kwa idadi ya zamani lakini wahitimu kwa idadi kubwa. Hao wasomi wenyewe hawaeleweki na uwezo wao unatia shaka.
Inatosha kujisifia majukwaani kwa namba. Elimu, Elimu, Elimu.