Hili la Cleopa ni kama TUSI kwa Jakaya

This one was not unexpected from a retired high-muck-a-muck who prefers euphemisms and innuendos to deliver his messages. If he admits JK's failure, then as a political veteran, what has he suggested to rectify the situation and rescue the party's image from fading? He equally belongs to a clique of armchair critics who believe in nothing but casting animadversions and aspersions.

Sometimes it is very difficulty to defend a weak leader. The truth has to be said, and sadly very few within the Magambas can dare to that! It will take this country at least 30yrs to take us to where we were prio to JK's regime!
 
This one was not unexpected from a retired high-muck-a-muck who prefers euphemisms and innuendos to deliver his messages. If he admits JK's failure, then as a political veteran, what has he suggested to rectify the situation and rescue the party's image from fading? He equally belongs to a clique of armchair critics who believe in nothing but casting animadversions and aspersions.
<br />
<br />
Great thinker, thinking each and everything done by govt is done bona fide, forgeting that in the govt there some wolves and foxes.
Enjoy ur daydreaming.
 
This one was not unexpected from a retired high-muck-a-muck who prefers euphemisms and innuendos to deliver his messages. If he admits JK's failure, then as a political veteran, what has he suggested to rectify the situation and rescue the party's image from fading? He equally belongs to a clique of armchair critics who believe in nothing but casting animadversions and aspersions.

Mwita umendika kabla ya kusoma bandiko la kwanza? Au ulitaka kuonyesha umahiri wako katika CL 100?:-

hii ni baadhi ya michango yake;

i. Tz ya miaka 50 ijayo inahitaji Strong leader atakayeweza kusimama na kusema hiki kifanyike na hiki kisifanyike na ambaye ataweza kusimama katika maamuzi magumu (rejea JK kushindwa kuwa na msimamo juu ya matatizo yanayowakabili wa-tz likiwamo umeme)

ii. Tz inakabiliwa na ugonjwa hatari wa malaria, suluhisho sio kwenda kuomba msaada wa vyandarua suluhisho ni kukabili vyanzo vinavyozalisha mbu na vimelea vyake (msaada kutoka serikali ya marekani)

iii. Siku hizi hatuna wataalam wa kutosha katika masuala mbalimbali nchini mfano wa kina Prof. Benno Ndulu na wengine wa miaka ile, leo hii badala ya serikali kupeleka vijana kwa wingi nje ya nchi na kupata wataalam kama vile china na hata kenya, viongozi wamebaki kubuni mbinu mbalimbali zitakazowapeleka nje ili wapate posho kutunisha mifuko yao na kununua magari, nchi haina wataalam wa kutosha kuweza kuleta mabadiliko tunapoingia miaka 50 ijayo.(safari za JK nje ya nchi)
 
If he admits JK's failure, then as a political veteran, what has he suggested to rectify the situation and rescue the party's image from fading?
two thing Mwita:
1. Solution will mark Msuya a rebel....
2. Solution will kill and burry CCM...
It was good for you guys he didn't propose that solution.
anyway, we have no government and I guess it will continue for next four yrs. If you think otherwise, show me the government!
 
This one was not unexpected from a retired high-muck-a-muck who prefers euphemisms and innuendos to deliver his messages. If he admits JK's failure, then as a political veteran, what has he suggested to rectify the situation and rescue the party's image from fading? He equally belongs to a clique of armchair critics who believe in nothing but casting animadversions and aspersions.

Hata hivyo....
Unadhani aliyosema ni uzushi na uzandiki au ni UKWELI?

JK ni mbishi haambiliki na hashauriki, anaamini sana maswahiba wake. Retired leaders who are all from CCM, wameacha kutoa ushauri tena, maana JK ni mjuaji.
 
ushauri wangu kwa hawa wazee,

msuya,warioba,kitine hans,...... ............ nk
1.wajikusanye wamwite na wamweleze haya kwa kina na kumshauri
kutoa maamuzi na kuomba ushauri pale anapokwama kwa kuwa hakuna kiongozi asiefanya hayo!
kwa kuwa anaweza kukaataa basi wamwandalie futari najua hatoukataa mwaliko
huo
 
hahaha..huyu masaburi hakua mwizi..huh?.lakni alipeleka miradi yote ya maendeleo kwao.ni mbinafsi sana..heh?
Mkweere kapeleka mradi gani kwao zaidi ya lile jumba analojenga kwa msaada wa fedha toka mataifa ya KIISLAM?
 
ushauri wangu kwa hawa wazee,

msuya,warioba,kitine hans,...... ............ nk
1.wajikusanye wamwite na wamweleze haya kwa kina na kumshauri
kutoa maamuzi na kuomba ushauri pale anapokwama kwa kuwa hakuna kiongozi asiefanya hayo!
kwa kuwa anaweza kukaataa basi wamwandalie futari najua hatoukataa mwaliko
huo

EM futari ingefaa zaidi, ukizingatia ni mwezi mtukufu.
 
Siku zote ukiwa nje ya game ndio unaona mazuri mengi na mabaya pia kuliko ukiwa ndani so tuupokee ushauri wake na jk naye aufanyie kazi.
 
Nchi hii inaongozwa kwa kuangalia upepo kama mganga wa kienyeji. Mmeona ya Jairo, alipoona wengi wamelalama, naye kabatilisha kauli ya watendaji wake. Hatuwezi kusonga mbele na kichwa kisichofikiri period.
 
This one was not unexpected from a retired high-muck-a-muck who prefers euphemisms and innuendos to deliver his messages. If he admits JK's failure, then as a political veteran, what has he suggested to rectify the situation and rescue the party's image from fading? He equally belongs to a clique of armchair critics who believe in nothing but casting animadversions and aspersions.
A best leader is the one who dares to even correct himeself, leave alone other people............ regardless of the position he/she was holding prior to correction.................... Hivyo basi kwamba alikuwepo au hakuwepo si tatizo, issue ni kuwa JK anachemsha
 
amenawa mikono, hana hatia tena. hajatukana, kwani mtu akikuambia aisee umekaa uchi "biology" inaonekana na haijatahiriwa amekutukana??
 
This one was not unexpected from a retired high-muck-a-muck who prefers euphemisms and innuendos to deliver his messages. If he admits JK's failure, then as a political veteran, what has he suggested to rectify the situation and rescue the party's image from fading? He equally belongs to a clique of armchair critics who believe in nothing but casting animadversions and aspersions.

The thing is we have a huge bunch of hypocritical politicians, most of them demagogue. They are very good at pointing fingers when they are out of office, (JK will do the same after he leave the office) but very good at doing nothing when they are in office. It is not a secret that Tanzania does not have leadership, vision and Tanzanians do not have courage to stand up against these.

It reminds me of what General Babangida said when he toured Tanzania.

"it is hard to ride a herd of cattle than to rule Tanzania"
 
Kumbe unajua kiswahili fasaha au unafikili wote tunatokata tarime ha ha ha ukishindwa kuandika kisw try kimwita
 
Teh teh teh teh! Nimesoma hii post mara tatu lakini kwa kichwa changu kigumu kisichoweza kutambua matusi tena nimefeli, naomba u-highlight hata tusi moja tu au kuna aina za matusi ambazo labda mi sizielewi!
 
Kwanza afafanue kauli yake aliyoitoa enzi zake kwamba " kila mtu atabeba mzigo wake mwenyewe" then aje kusahihisha wenzake.
 
Hajatukana mtu hapa. Ni ukweli tu ameelezea na mawazo hayo ndiyo ya kujenga nchi. Uongozi wa nchi unatakiwa uchukue nafasi yake katika mambo na maamuzi magumu ili kuboresha hali za wananchi wetu.

Rais ni jemadari mkuu wa kutuonyesha mahali pa kupita kama wapiganaji ili tuweze kupenya na kufika nchi ya ahadi. Nchi ya maziwa na asali tuweze kuona maisha mapya ambayo hali zitakuwa zimeboreka kututoa tulikokuwa juzi na jana kutupeleka penye ahueni katika nyanja zote za afya, kilimo, elimu, miundombinu, maji, mawasiliano na uchukuzi nk.

Mtu anapotoa mawazo ya kujenga tukubali mchango wake tusifiwe na ufinyu wa mawazo wa kuona ni matusi. Mungu atukalie tuione Tz tuliyoahidiwa katika kampeni mbalimbali za uchaguzi. Tuwatendee haki wananchi wa sasa na vizazi vijavyo. Mungu ibariki Tz, Mungu ibariki Afrika. Naomba kuwasilisha
 
iii. Siku hizi hatuna wataalam wa kutosha katika masuala mbalimbali nchini mfano wa kina Prof. Benno Ndulu na wengine wa miaka ile, leo hii badala ya serikali kupeleka vijana kwa wingi nje ya nchi na kupata wataalam kama vile china na hata kenya, viongozi wamebaki kubuni mbinu mbalimbali zitakazowapeleka nje ili wapate posho kutunisha mifuko yao na kununua magari, nchi haina wataalam wa kutosha kuweza kuleta mabadiliko tunapoingia miaka 50 ijayo.(safari za JK nje ya nchi)
K

Tatizo si kushindwa kupeleka vijana kwenda kusoma nje ya nchi tatizo ni uzalendo hakuna. Mbona kuna viongozi wengi mifano ya Beno Ndulu hakuna la maana zaidi ya kuimaliza nchi kwa ufisad? Yeye alisoma nje ya kwa utaalam wake alifnya nin????

Anathibitisha kuwa elimu yetu haina uwezo wa kuzalisha wataalamu? Anataka tuamini kuwa tatizo kubwa ni serikali kushindwa kupeleka wataalam kusoma nje ya nchi?

AMECHOKA!!

APUMZIKE!!
 
Back
Top Bottom