Hili la CHADEMA kuajiri wageni kwenye uchaguzi sio jambo dogo

jingalao

JF-Expert Member
Oct 12, 2011
35,053
28,245
Kwa wenye kuipenda nchi yetu tutalichukulia jambo hili kwa umakini mkubwa.iweje chadema ilete wageni na kuwapa ajira katika masuala ya siasa au uchaguzi?

Ina maana nchi hii haina wataalamu wazalendo wa kuajiriwa na chadema?

Kulikuwa kuna Mkenya,Muangola na Mkorea!

Hii ni zaidi ya hatari.

KWA HISANI YA MTU WA TANZANIA!
 
Kwa wenye kuipenda nchi yetu tutalichukulia jambo hili kwa umakini mkubwa.iweje chadema ilete wageni na kuwapa ajira katika masuala ya siasa au uchaguzi?

Ina maana nchi hii haina wataalamu wazalendo wa kuajiriwa na chadema?

Wewe akili huna kabisa kujumulisha matokeo ni mambo ya Siasa? Au ndiyo unatumiwa vibaya.
 
wewe ndiye lofa na mpumbavu. Na ni choko tu. Sisi hatujaleta wageni mamluki kama wenu.

Wewe ndiwe waonekana huna akili ndiyo maana unasema choko, choko maana yake ni mtu ------ sasa una uhakika gani na maneno yako au ndiyo ccm imewafundisha kusema hivyo???
 
Halafu kwa taarifa yako tu ni kwamba hao vijana mliowashika Wa ukawa ni sawa na mmefanya kazi bure .....
Tallying ya ukawa inafanywa na WAISRAEL ,mtajuta hakika nawaambieni
 
Halafu kwa taarifa yako tu ni kwamba hao vijana mliowashika Wa ukawa ni sawa na mmefanya kazi bure .....
Tallying ya ukawa inafanywa na WAISRAEL ,mtajuta hakika nawaambieni

Na unajisikia fahari kabisa kwa tallying kifanywa na waisrael!! Shane on you!

Mawakala wenu ni waisrael pia?
 
Back
Top Bottom