Hili la baadhi ya wanawake kuwaita wanaume nyau limeanzia wapi?

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Sep 30, 2011
18,287
33,893
Naona kama imekuwa ni kawaida kwa wasichana wa mijini hasa kwenye mitandao ya kijamii kuwaita wanaume kuwa ni nyau. Utawasikia "Nyau wangu mkali balaa" hapo inamaanishwa mwanaume wake ni mkali.

Hili la kuita wanaume nyau limeanzia wapi?
 
Siku hizi kupata mwanamke mwenye akili timamu kaazi kweli kweli. Vumilia lakini, kuna mchinjaji ametengeneza chupi za upako, ziko sokoni...watumishi sasa wameamua kudili na kiini cha tatizo.
 
Back
Top Bottom