Hili kwangu limekuwa jaribu sana toka kwa wife; anataka kuniua

Wife ana shughuli zake za biashara, sasa kutokana na kuwa nami nakuwa busy na mambo yangu, mara nyingi huwa hata siulizi pesa zake anafanyia nini.

Tuna magari mawili. Yeye dogo, mimi kubwa kiasi flani, SUV. Kutokana na kuwa huwa sifuatilii mambo madogo madogo hasa kuingilia biznesi yake, basi nadhani ana-take hiyo kama advantage.

Binafsi naona hao wakopeshaji ni Matapeli ambao hawakutaka kukushirikisha kama shahidi. Nafikiri hawatakua na pa kushtaki ikiwa hawatalipwa na mkeo.na wewe.
Na hawataweza kuchukua gari yako.

Maana hawakufuata utaratibu hasa wa kuwasiliana na wewe mwenye kadi ya gari yenye jina lako. Wanakuja kukupigia wakiwa wameshafanya mihamala na kupeana pesa bila wewe kujua.
 
Kwanza pole sana. Mpaka hapo kuna tatizo kubwa kati yako wewe na mke wako. Lakini tatizo kubwa ni wewe ksbb ndio kichwa cha nyumba. Mambo yako ya kifamilia umeyajenga ovyo hapo kwako,umeyatengenezea mazoea mabaya. Hata kama hakuna maelewano mazuri wewe na mke wako hawezi kufanya vitu vikubwa namna hiyo.
Chukua ushauri huu kama bado haujatatua tatizo lako
 
Mkuu kuwa mkwel..mbona na nyie ndo hamshirikishi wake zenu kwenye mishe zen??
Maneng inawezekana, mara nyingi mwanamme aweza asimshirikishe mkewe kuhusu jambo fulani lakini mwishowe akaja akamwambia likiwa limeshatoa matunda, yaani mwanamke anakuja kujua wakati nyumba imeshakamilika anaambiwa tunahamia, hapo hakuna ubaya, lakini angalia kwa makini alichokifanya huyu aliyefunguliwa mada, yaani unakopa hela zote hizo bila kumshirikisha mmeo !!,

Mbaya zaidi unachukua kadi ya gari bila ruhusa ya mmeo !!, mimi naona hii ni dharau, laiti ingekuwa hela kidogo unaweza kumvumilia, na huyu jamaa naye inaonekana amemzoesha mke wake, kwa sababu kama sio mazoea ya deko na dharau hawezi kufikia kupata Ujasiri huo, muwaheshimu tu waume zenu, hata MUNGU amewaagiza hivyo.
 
Maneng inawezekana, mara nyingi mwanamme aweza asimshirikishe mkewe kuhusu jambo fulani lakini mwishowe akaja akamwambia likiwa limeshatoa matunda, yaani mwanamke anakuja kujua wakati nyumba imeshakamilika anaambiwa tunahamia, hapo hakuna ubaya, lakini angalia kwa makini alichokifanya huyu aliyefunguliwa mada, yaani unakopa hela zote hizo bila kumshirikisha mmeo !!, mbaya zaidi unachukua kadi ya gari bila ruhusa ya mmeo !!, mimi naona hii ni dharau, laiti ingekuwa hela kidogo unaweza kumvumilia, na huyu jamaa naye inaonekana amemzoesha mke wake, kwa sababu kama sio mazoea ya deko na dharau hawezi kufikia kupata Ujasiri huo, muwaheshimu tu waume zenu, hata MUNGU amewaagiza hivyo.

Amekosea ndyo! maana ni hela kubwa
Ndo maana nasema tunadanganywa na ushoga..huyo hakuanza tu kukopa bila kuambiwa na mashoga zake..ukipunhuza mashoga mambo yanakuwa poa !
 
Wife ana shughuli zake za biashara, sasa kutokana na kuwa nami nakuwa busy na mambo yangu, mara nyingi huwa hata siulizi pesa zake anafanyia nini.

Tuna magari mawili. Yeye dogo, mimi kubwa kiasi flani, SUV. Kutokana na kuwa huwa sifuatilii mambo madogo madogo hasa kuingilia biznesi yake, haya yasiyo na msingi.

Umemdekeza sana huyo mke wako, iko siku atakupiga vidole, stand as a man, acha kudekeza kwa mambo ya msingi hivyo.. Piga kibao kimoja cha moto sanaaaaa, akikosa fahamu akizinduka atakuheshimu na kuacha kukuzunguka, i wish i could be you, kwanza asingethubutu wala kuwaza kufanya hivyo. Be a man
 
Kuna watu wanawaza kifukara sana. Wanaamini wao walivyo ndivyo sote tulivyo.ukizungumzia tu gari wanachafukwa moyoni.sielewi kwa nini.mimi nmeandika kilichotokea kwangu.kama yeye haamini mimi hainithiri kitu as long as hatufahamiani.

Exactly, kuna watu wao asubuhi jioni ni kuwaza kimaskini tu , yaani kila kitu hawaamini ,sasa ya nini ujichoshe kama unaona hiko kitu si side yako unasepa!

Mie naamini huwezi mtu mzima ukatunga story kama hii.
 
Jamaa umetoa ushauri mzuri sana, naunga mkono
Kwanza pole sana. Mpaka hapo kuna tatizo kubwa kati yako wewe na mke wako. Lakini tatizo kubwa ni wewe ksbb ndio kichwa cha nyumba. Mambo yako ya kifamilia umeyajenga ovyo hapo kwako,umeyatengenezea mazoea mabaya. Hata kama hakuna maelewano mazuri wewe na mke wako hawezi kufanya vitu vikubwa namna hiyo.
 
Mwanamke ana haki ya kuchkua mkopo au hata kuuza mali ili kuendesha maswala ya kifamilia,ila kuna mambo ya kisheria zaidi yanaambatana na hapo,
Ila ingekua mimi ningeuza kwanza gari yake,pili hifadhi yake bank na kokote,
Tatu makofi mawili matatu alafu aende kwao akajifunze
 
Kuna watu wanawaza kifukara sana. Wanaamini wao walivyo ndivyo sote tulivyo.ukizungumzia tu gari wanachafukwa moyoni.sielewi kwa nini.mimi nmeandika kilichotokea kwangu.kama yeye haamini mimi hainithiri kitu as long as hatufahamiani.
Tatizo lako una majigambo na dharau, alichokifanya mkeo ni matokeo ya aina ya maisha unayoishi nae, nikwambie tu, huku mikoani wanawake wana heshima sana kwa waume zao, yaani achia mbali milioni 1 hata laki moja tu hawezi kukopa bila kupata idhini ya mumewe, na ndio maana ndoa nyingi zinadumu, mke akiwa na heshima kwa mumewe mitafaruku inapungua sana ndani ya familia, wewe mkeo amekopa 15m amechukua kadi ya gari bila kukutaarifu halafu unasema watu wanawaza kifukara !!, kama wewe si fukara kalipe hiyo hela ukae kimya, watu wanakuhurumia jinsi mkeo alichofanya sio kwamba wana wiviu na hizo gari zako, hata matajiri kama akina MO sidhani kama wake zao waweza kufanya alichofanya mkeo.
 
Muulize kwa Nini kafanya hivyo, akijibu blah blah NASA makofi kama kumi hivi, akibisha ongeza tena, akibisha mwambie uzungu mwisho ulaya utampiga umuue,...

Kisha uza hiyo harrier yake lipa mkopo chenji itakayobaki mnunulie ist mtumba.

Hawa viumbe bila kuwa mkali mnabadilishana jinsia na majukumu bila wewe kujua.
 
Kuna watu wanawaza kifukara sana. Wanaamini wao walivyo ndivyo sote tulivyo.ukizungumzia tu gari wanachafukwa moyoni.sielewi kwa nini.mimi nmeandika kilichotokea kwangu.kama yeye haamini mimi hainithiri kitu as long as hatufahamiani.
Umepokea maushauri ya kutosha, sasa ni kazi kwako kuyachuja na kufanya maamuzi ya kuendelea kuishi maisha ya ukweli au kuigiza kuishi.
Fanya maamuzi unayoona ni sahihi kwako mkuu Mtu Asiyejulikana . Maamuzi yanayokupa furaha, maamuzi yanayokupa uhuru, maamuzi yatakayokupa amani ya ya maisha yako.
Wewe mwenyewe ndio unajua tamu na chungu ya unachopitia
 
Wife ana shughuli zake za biashara, sasa kutokana na kuwa nami nakuwa busy na mambo yangu, mara nyingi huwa hata siulizi pesa zake anafanyia nini.

Tuna magari mawili. Yeye dogo, mimi kubwa kiasi flani, SUV. Kutokana na kuwa huwa sifuatilii mambo madogo madogo hasa kuingilia biznesi yake,
Hii kitu ulimalizaje mkuu?
 
Back
Top Bottom