funzadume
JF-Expert Member
- Jan 28, 2010
- 13,559
- 21,040
Hata mimi nimestukia. Ni zile story za vijiwe vya kahawa za kupotezea muda.Hamna kitu hapa
Storee za jf hizi
Hata mimi nimestukia. Ni zile story za vijiwe vya kahawa za kupotezea muda.Hamna kitu hapa
Storee za jf hizi
nimecheka sana aseeWanaume wengine mna matatizo sio bure sasa wivu wa nini kumuita mwanamme mwenzako mpenzi wewe unaumia mxieeeew
Mchai chaiChai au?
Keyboard warriorHata mimi nimestukia. Ni zile story za vijiwe vya kahawa za kupotezea muda.
Hujaona anaitwa KokuMwita Tibaimarwa.Hivi ametaja na kabila lake?