Hili kosa linafaa kumuacha kabisa huyu binti?

Mkuu kuwa mwanaume acha kuwa mvulana . Yaani mimi wife akiwa tu na shida ata ya 5000 nikimwambia toa kwenye wallet hawez fungua wallet ataniletea nitoe mwenyewe nimpe sio afungue wallet yangu. Mwanamke unavyoishi nae ndivyo atakavyo kupelekesha. Wana testigi vitu waone teaction .

Kwa mfano apo kachujua laki 2 kwenye suruali bila ridhaa yako ebu niambie utachukua hatua gani kama mwanamme?
Kuna maamuz nmeamua niyafanye ambayo atajutia na hatorudia tena
 
Wakuu siku mbili tatu hizi kuna majukumu makubwa nimefanya sasa kwa asilimia kubwa nimekwangua mfuko wangu na akiba karibu asilimia 80.

Sasa nikabaki na kapesa kadogo kakusukuma siku mbili tatu.

Sasa kuna bint huyu shemej yenu kaja hapa kwangu tokea siku ya sabasaba kaondoka leo mda si mref...huyu bint yan sijui..akil yake huwa ni nin..huyu bint aliniomba kias flan cha pesa nkamwambia sina kwasasa nmetumia hela nying mda si mref.

Huyu binti toka hiyo siku anaongea vimaneno maneno vya kukera tokea hyo j5 had jana nkamwambia wee ndugu yangu una tatzo gan...akanijib wee kama huna hela mbona tunakula makuku na kunywa kila siku hapa...nkamwambia hvyo unavyokula umeona nimetoka nje kwenda kununua?au unakula vilivyohifadhiwa kwenye jokofu ..unapika na kula...bas toka hyo siku ya j5 anakunja mdomo tu..sasa.

Ndan kwenye surual nilikua kama na lak2 hiv..ya kusukuma gurudum ....sasa sjui kanipekua..yaan huwez amin...binti kachkua hyo hela yoote...hapa nmebak na korodani zangu tuu.

Ila nna hasira had natetemeka..halaf katuma msg..ndio nimechkua hela..

Well...kiukwel mim mtu kuchkua hela bila ridhaa sipend....yaan dah..well..hyo hela sio ishu.magoli yangu yananipa tu hata kesho asubuh...ila sasa unachkuaje hela namna hyo?

Inamana tumezoeana sana ama?

Hiv kosa kama hili si la kumuacha kabisa binti huyu au ni hasira tu wakuu..hahahah

Uzi tayar...
Toa pesa mkuu
 
Imagine dada mzuri rangi kama anaoga maziwa kumbe anapekua mifuko ya boyfriend
Yaani mimi siyo malaika kabisa ila kusema uongo, kuiba na kusaliti, kusingizia ni dhambi maziogopa mno maishani mwangu. Yaani siwezi. Sometimes tabia zako mbaya ndo zinakudecorate aisee.
 
Wakuu siku mbili tatu hizi kuna majukumu makubwa nimefanya sasa kwa asilimia kubwa nimekwangua mfuko wangu na akiba karibu asilimia 80.

Sasa nikabaki na kapesa kadogo kakusukuma siku mbili tatu.

Sasa kuna bint huyu shemej yenu kaja hapa kwangu tokea siku ya sabasaba kaondoka leo mda si mref...huyu bint yan sijui..akil yake huwa ni nin..huyu bint aliniomba kias flan cha pesa nkamwambia sina kwasasa nmetumia hela nying mda si mref.

Huyu binti toka hiyo siku anaongea vimaneno maneno vya kukera tokea hyo j5 had jana nkamwambia wee ndugu yangu una tatzo gan...akanijib wee kama huna hela mbona tunakula makuku na kunywa kila siku hapa...nkamwambia hvyo unavyokula umeona nimetoka nje kwenda kununua?au unakula vilivyohifadhiwa kwenye jokofu ..unapika na kula...bas toka hyo siku ya j5 anakunja mdomo tu..sasa.

Ndan kwenye surual nilikua kama na lak2 hiv..ya kusukuma gurudum ....sasa sjui kanipekua..yaan huwez amin...binti kachkua hyo hela yoote...hapa nmebak na korodani zangu tuu.

Ila nna hasira had natetemeka..halaf katuma msg..ndio nimechkua hela..

Well...kiukwel mim mtu kuchkua hela bila ridhaa sipend....yaan dah..well..hyo hela sio ishu.magoli yangu yananipa tu hata kesho asubuh...ila sasa unachkuaje hela namna hyo?

Inamana tumezoeana sana ama?

Hiv kosa kama hili si la kumuacha kabisa binti huyu au ni hasira tu wakuu..hahahah

Uzi tayar...
Hata kama mmezoeana kihvyo syo tiket ya kukuibia yaan hapo kapekua na kakuibia kabisa, mm nimezoeana na mme wangu lakin hata kama nna shida gan huwa sichukui pesa yake bila idhini, hata kwenye wallet yake sipekui, aisee kafanya umafua kabisa huyo
 
Mkuu kuwa mwanaume acha kuwa mvulana . Yaani mimi wife akiwa tu na shida ata ya 5000 nikimwambia toa kwenye wallet hawez fungua wallet ataniletea nitoe mwenyewe nimpe sio afungue wallet yangu. Mwanamke unavyoishi nae ndivyo atakavyo kupelekesha. Wana testigi vitu waone reaction .

Kwa mfano apo kachukua laki 2 kwenye suruali bila ridhaa yako ebu niambie utachukua hatua gani kama mwanamme?
Naweza piga niue. Hiki kiburi kimepitiliza. Yaan hapo maana yake ni kwamba hela amechukua na huna utakachomfanya.

Binafsi nikamwomba partner wangu some amount na akanijibu hana naheshimu. Hata nikamkuta ana million 10 sitahangaika. Nitaamini hizo fedha tayari ziko ktk bajet hivyo niwe mvumilivu until next time. Kufikia stage ya kuchukua fedha ya mwenzio kibabe hivyo hapo hakuna mapenzi. Yaan mwanamke anayekupenda atakuhurumia sana hasa juu ya kipato chako hata uwe bilionea.
 
Wakuu siku mbili tatu hizi kuna majukumu makubwa nimefanya sasa kwa asilimia kubwa nimekwangua mfuko wangu na akiba karibu asilimia 80.

Sasa nikabaki na kapesa kadogo kakusukuma siku mbili tatu.

Sasa kuna bint huyu shemej yenu kaja hapa kwangu tokea siku ya sabasaba kaondoka leo mda si mref...huyu bint yan sijui..akil yake huwa ni nin..huyu bint aliniomba kias flan cha pesa nkamwambia sina kwasasa nmetumia hela nying mda si mref.

Huyu binti toka hiyo siku anaongea vimaneno maneno vya kukera tokea hyo j5 had jana nkamwambia wee ndugu yangu una tatzo gan...akanijib wee kama huna hela mbona tunakula makuku na kunywa kila siku hapa...nkamwambia hvyo unavyokula umeona nimetoka nje kwenda kununua?au unakula vilivyohifadhiwa kwenye jokofu ..unapika na kula...bas toka hyo siku ya j5 anakunja mdomo tu..sasa.

Ndan kwenye surual nilikua kama na lak2 hiv..ya kusukuma gurudum ....sasa sjui kanipekua..yaan huwez amin...binti kachkua hyo hela yoote...hapa nmebak na korodani zangu tuu.

Ila nna hasira had natetemeka..halaf katuma msg..ndio nimechkua hela..

Well...kiukwel mim mtu kuchkua hela bila ridhaa sipend....yaan dah..well..hyo hela sio ishu.magoli yangu yananipa tu hata kesho asubuh...ila sasa unachkuaje hela namna hyo?

Inamana tumezoeana sana ama?

Hiv kosa kama hili si la kumuacha kabisa binti huyu au ni hasira tu wakuu..hahahah

Uzi tayar...
Kama unataka kuoa huyo sio mke sahihi hata Kama ni kisura huyo inavyoonesha Kwanza hajakupenda ila unajipendekeza kwake,,, huyo ananifaa mim , awe anakutana na book mbili jero, harafu dagaa kwa kwenda mbele ,,, kiufupi sio mke sahihi bila kupepesa macho
 
Well done mwana,, daa unamdogo wako nije oe?
Naweza piga niue. Hiki kiburi kimepitiliza. Yaan hapo maana yake ni kwamba hela amechukua na huna utakachomfanya.

Binafsi nikamwomba partner wangu some amount na akanijibh hana naheshimu. Hata nikamkuta ana million 10 sitahangaika. Nitaamini hizo fedha tayari ziko ktk bajet hivyo niwe mvumilivu until next time. Kufikia stage ya kuchukua fedga ya mwenzio kibabe hivyo hapo hakuna mapenzi. Yaan mwabamke anayekupenda atakuhurumia sana hada juu ya kipato chako hata uwe bilionea.
 
Si bora huyo kakupiga peksheni na kuchukua mpunga akatambaa na kukutumia text kwamba ameshajipa per diem yake!!! Hakutaka mambo yawe mengi.
 
Mkuu nitumie namba nimuombe arudishe japo laki, asifanye hivyo mkuu. Aisee yoteee kapita nayo, duuuh.
 
Back
Top Bottom