Wandugu, Katiba inamtaka CAG kuipeleka bungeni Ripoti ya Ukaguzi yeye mwenyewe moja kwa moja endapo Rais atauchuna. Sasa akiogopa kuipeleka kwa sababu ya vitisho au azimio feki, basi wale wawindaji wake watapata kigezo cha kumshughulikia kwa kushindwa kufanya jambo analoamriwa na katiba na kwa hiyo atakuwa amevunja katiba.
Najua wengi mtasema kuwa Bunge ndio litakuwa limefanya kosa mwanzoni na sio yeye. Ngoja niwakumbushe. Kosa la Mkurugenzi wa kinondoni si ndio limesababisha Mbowe kupewa kesi ya Akwilina? Msishangae kosa la Bunge linaweza kupelekea kesi kwa CAG- KUVUNJA KATIBA.
Pona ya CAG ni kusimama na Katiba basi. TUSUBIRI.