Hili jukwaa ni la nafasi za kazi na tenda, ila thread nyingi zipo za kutafuta kazi.

Okimangi

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2018
Messages
763
Points
500

Okimangi

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2018
763 500
Yaani Watanzania wengi tunapenda kutafuta kazi kumbe kuliko ilivo kutafuta tender, maana kutafuta kazi na tender ni vitu vina utofauti sehemu.

Kwani nini hivi? au watanzania mnapenda job security au dhamana..
Maana Wachina na watu nchi nyingine huko ndio nawaona wanapenda kutafuta tender.
Afu wakenya wenzetu wao wanapenda kutafuta tender pia.

Ila mi naona tender ni njia rahisi kuipata kuliko kazi, na kimsingi ukipata tender ndiyo unafanya kazi, tender ndiyo imeibeba kazi, tender ndiyo kubwa kwangu kuliko kazi.

Kuna watanzania wakisikia tender wanajua ni bahati toka mbinguni, kumbe ni umeona fursa ukaomba usolve problem au ukaitwa hapo tayari ni tender...

Kazi zipo ila kuzipata kazi ni shughuli, tufanye tender kwa kuomba au kuitwa ikiwa tunauwezo wa kukamilisha kazi.

Mi kwa mfano ninaombeni tender niwaletee buildings materials za majengo mfano cements, bati, tails n.k nawafanyia supply mlipo, mi nipo dodoma, arusha Kilimanjaro pia naweza patikana karibuni.

Tatizo watz kiswahili kinatuchanganya saa ingine tunakariri mambo, tuelewe kwanza nini maana ya tender... Asahteni
 
Andy Da Inc

Senior Member
Joined
Mar 2, 2015
Messages
119
Points
250

Andy Da Inc

Senior Member
Joined Mar 2, 2015
119 250
Yaani Watanzania wengi tunapenda kutafuta kazi kumbe kuliko ilivo kutafuta tender, maana kutafuta kazi na tender ni vitu vina utofauti sehemu.

Kwani nini hivi? au watanzania mnapenda job security au dhamana..
Maana Wachina na watu nchi nyingine huko ndio nawaona wanapenda kutafuta tender.
Afu wakenya wenzetu wao wanapenda kutafuta tender pia.

Ila mi naona tender ni njia rahisi kuipata kuliko kazi, na kimsingi ukipata tender ndiyo unafanya kazi, tender ndiyo imeibeba kazi, tender ndiyo kubwa kwangu kuliko kazi.

Kuna watanzania wakisikia tender wanajua ni bahati toka mbinguni, kumbe ni umeona fursa ukaomba usolve problem au ukaitwa hapo tayari ni tender...

Kazi zipo ila kuzipata kazi ni shughuli, tufanye tender kwa kuomba au kuitwa ikiwa tunauwezo wa kukamilisha kazi.

Mi kwa mfano ninaombeni tender niwaletee buildings materials za majengo mfano cements, bati, tails n.k nawafanyia supply mlipo, mi nipo dodoma, arusha Kilimanjaro pia naweza patikana karibuni.

Tatizo watz kiswahili kinatuchanganya saa ingine tunakariri mambo. Asahteni
Wazo lako n zur sana ila jua humu jf tunatofautiana,kuna watu wa aina yako ambao mna maono na kipato pia cha kutimiza maono yako,kuna wenye maono zaid yako lakin hawana kipato cha kutimiza maono hawa sasa wanaona n bora kutafuta buku kwa kukuitendea kazi kuliko kuitafuta laki kwa kuiombea tenda kwa maana huwez kupewa tenda na mtaji ila unapewa tenda ukiwa na mtaji,jitahid ukiwa unaandika usihisi wote wanaringana na wew kipato au wako zaid yako,yawezekana unafikiria kununua gari ila wenzako wanafikiria kununua ugali
NB;we are equal because we are human but we differ in income(siko vzur ktk kizungu ila naonesha msisitizo),hii n thread ya nafasi za kazi ila kama hawatangazi sisi tunatangaza uhitaji wa kazi.MWISHO
 
Okimangi

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2018
Messages
763
Points
500

Okimangi

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2018
763 500
Tenda TZ watu hawana mitaji na uzoefu, tunakwayagwaya tu
Siyo lazima iwe tender ya mamilioni mkuu, na tender sio lazima iwe big tender sijui kujenga barabara, majengo no! Any short contract or day worker job that will be watched as opportunity ni tender even ukiaambiwa nenda kapike kwenye events ile pia tender, ndio maana nikasema kiswahili kinamazoea mabovu tunakariri, sasa Kama unasema Mtaji wapo watu maofisini wanahonga pesa nyingi wapate kazi inamaana kazi kwa watz ni issue.
 
Mi mbno sina mamilioni, nadhani ukisikia tender unashutaka sana
 
Andy Da Inc

Senior Member
Joined
Mar 2, 2015
Messages
119
Points
250

Andy Da Inc

Senior Member
Joined Mar 2, 2015
119 250
Siyo lazima iwe tender ya mamilioni mkuu, na tender sio lazima iwe big tender sijui kujenga barabara, majengo no! Any short contract or day worker job that will be watched as opportunity ni tender even ukiaambiwa nenda kapike kwenye events ile pia tender, ndio maana nikasema kiswahili kinamazoea mabovu tunakariri, sasa Kama unasema Mtaji wapo watu maofisini wanahonga pesa nyingi wapate kazi inamaana kazi kwa watz ni issue.
uko vzur,niiongelee tenda ya kupika tu kama mfano,je utapewa ela ya vyombo na ela ya kununulia vitu vya kupika?,au kuna tenda unayolipwa kabla ya kutoa huduma?,wew acha watu waombe kaz wakipata hzo kaz watapata mitaji ya kutimiza malengo yao,yawezekana nawe ulianza na kuajiliwa ukapata mtaji ukajiajir hongera hyo n hatua nzur,wenzako pia wanataman hvyo,kma hujaajiriwa ukapata mtaji bac umepewa na wazaz wako pia hongera kwa kubahatika kuzaliw ktk familia yeny uwezo,KUJIAJIRI BILA MTAJI HUWEZI HILO UKUBALI UKATAE
 
Okimangi

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2018
Messages
763
Points
500

Okimangi

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2018
763 500
uko vzur,niiongelee tenda ya kupika tu kama mfano,je utapewa ela ya vyombo na ela ya kununulia vitu vya kupika?,au kuna tenda unayolipwa kabla ya kutoa huduma?,wew acha watu waombe kaz wakipata hzo kaz watapata mitaji ya kutimiza malengo yao,yawezekana nawe ulianza na kuajiliwa ukapata mtaji ukajiajir hongera hyo n hatua nzur,wenzako pia wanataman hvyo,kma hujaajiriwa ukapata mtaji bac umepewa na wazaz wako pia hongera kwa kubahatika kuzaliw ktk familia yeny uwezo,KUJIAJIRI BILA MTAJI HUWEZI HILO UKUBALI UKATAE
Nadhani hatujui vitu vyote ukiwa na Mtaji wa pesa unaweza kufanikiwa kimaisha?? Soma kwenye English dictionary maana ya neno tender, ukimaliza angalia unaweza kuanza kupata small tender iwe day worker (deiwaka wabongo tunaita) au short contract tender alafu njoo hapa uniambie umeshindwa wapi nikusaidie. Usipende kusema mambo ya kuzaliwa poor family Wala kuzaliwa wa kishua, The billigates ashasemaga kuzaliwa masikini sio kosa lako, kufa masikini ni kosa lako?
 
Andy Da Inc

Senior Member
Joined
Mar 2, 2015
Messages
119
Points
250

Andy Da Inc

Senior Member
Joined Mar 2, 2015
119 250
Nadhani hatujui vitu vyote ukiwa na Mtaji wa pesa unaweza kufanikiwa kimaisha?? Soma kwenye English dictionary maana ya neno tender, ukimaliza angalia unaweza kuanza kupata small tender iwe day worker (deiwaka wabongo tunaita) au short contract tender alafu njoo hapa uniambie umeshindwa wapi nikusaidie.
Kuna tenda nimeipata ya kufyeka majani barabarani,inabidi niwe na mafyekeo kama kumi maana itabidi nifanye na vijana 9 najiunga nao,majembe japo matatu na ela ya kuwalipa hawa jamaa nitaokuwa nao kam laki 2 hivi,maana hyo tenda mpaka nikimaliza ndo nalipwa,kwa hyo nahitaji kama laki 3 hivi,nisaidie nimerud kwako
 
Okimangi

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2018
Messages
763
Points
500

Okimangi

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2018
763 500
Kuna tenda nimeipata ya kufyeka majani barabarani,inabidi niwe na mafyekeo kama kumi maana itabidi nifanye na vijana 9 najiunga nao,majembe japo matatu na ela ya kuwalipa hawa jamaa nitaokuwa nao kam laki 2 hivi,maana hyo tenda mpaka nikimaliza ndo nalipwa,kwa hyo nahitaji kama laki 3 hivi,nisaidie nimerud kwako
πŸ€‘πŸ€‘πŸ€‘ Nimefurahi sana kuona unauwezo sasa wa kufahamu maana ya tender upo wapi wewe kijana, maana naona umeshatanguliza pesa mbele don't be after money though, unauwezo wa kufyeka unacomplain about vifaa amkaa, njoo ununue kwa mkopo au kukodi ukilipwa lipa gharama au kama vipi tafuta laki 3 njia nyingine kwa kukopa au kudunduliza, fanya uwezavyo uipate laki 3 wewe wakiume acha madeko πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Ukiniambia uko wapi ukanionyesha kazi nikaamini nitakupa slashers ninazo na vifaa ufanye unirudishie, malipo ya wafanyakazi ni baada ya wao kufanya kazi hapa no blaablaa kweli
 
alubati

JF-Expert Member
Joined
May 29, 2016
Messages
2,239
Points
2,000

alubati

JF-Expert Member
Joined May 29, 2016
2,239 2,000
πŸ€‘πŸ€‘πŸ€‘ Nimefurahi sana kuona unauwezo sasa wa kufahamu maana ya tender upo wapi wewe kijana, maana naona umeshatanguliza pesa mbele don't be after money though, unauwezo wa kufyeka unacomplain about vifaa amkaa, njoo ununue kwa mkopo au kukodi ukilipwa lipa gharama au kama vipi tafuta laki 3 njia nyingine kwa kukopa au kudunduliza, fanya uwezavyo uipate laki 3 wewe wakiume acha madeko πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
mweeeeeh! Watanzania sisi wazuri kwa porojo,vitendo hamna kitu.hahahaa..
 
Andy Da Inc

Senior Member
Joined
Mar 2, 2015
Messages
119
Points
250

Andy Da Inc

Senior Member
Joined Mar 2, 2015
119 250
πŸ€‘πŸ€‘πŸ€‘ Nimefurahi sana kuona unauwezo sasa wa kufahamu maana ya tender upo wapi wewe kijana, maana naona umeshatanguliza pesa mbele don't be after money though, unauwezo wa kufyeka unacomplain about vifaa amkaa, njoo ununue kwa mkopo au kukodi ukilipwa lipa gharama au kama vipi tafuta laki 3 njia nyingine kwa kukopa au kudunduliza, fanya uwezavyo uipate laki 3 wewe wakiume acha madeko πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Tunarudi kulekule,hapo nakuonesha kuwa hakuna tenda inayolipwa kabla,hyo laki 3 najua n ndogo saaana kwako,ila jua kuna wenzako hawana hata nauli ya kuwatoa mwenge kuwafikisha posta,kukwambia nahitaji laki 3 sikuhtaj unipe na wala sina hyo tenda ila nakuonesha uhalisia,na hakuna mwenye duka atakaekukopesha kitu kama si partiner wake ktk biashara,najua hapa najaribu kukuelewesha wew usiejua shida ili uzijue na najua sitofanikiwa,shortly n kwamba kwa kuwa watu wakiomba kazi humu hawakudhulu wew waache na wewe mtu wa tenda komaa na tenda.NAWASILISHA
 
Andy Da Inc

Senior Member
Joined
Mar 2, 2015
Messages
119
Points
250

Andy Da Inc

Senior Member
Joined Mar 2, 2015
119 250
Ukiniambia uko wapi ukanionyesha kazi nikaamini nitakupa slashers ninazo na vifaa ufanye unirudishie, malipo ya wafanyakazi ni baada ya wao kufanya kazi hapa no blaablaa kweli
Uko tayari wew kufanyishwa kazi wiki nzima bila malipo huku familia yako inalala njaa,ukimuona mtu anaamua kufanya kazi ya kufyeka ujue ana shida na ela na huyo n kibarua malipo yake n ya siku.Aisee we jamaa ndo wale mlipokuwa wadogo mkikosea wazazi wanawapa adhabu ya kula kuku na juisi maana n wavivu wa kula,sisi wenzako tukikosea ni viboko na tunanyimwa msosi ili tukome,TV na redio kwa mjumbe
 
Okimangi

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2018
Messages
763
Points
500

Okimangi

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2018
763 500
Tunarudi kulekule,hapo nakuonesha kuwa hakuna tenda inayolipwa kabla,hyo laki 3 najua n ndogo saaana kwako,ila jua kuna wenzako hawana hata nauli ya kuwatoa mwenge kuwafikisha posta,kukwambia nahitaji laki 3 sikuhtaj unipe na wala sina hyo tenda ila nakuonesha uhalisia,na hakuna mwenye duka atakaekukopesha kitu kama si partiner wake ktk biashara,najua hapa najaribu kukuelewesha wew usiejua shida ili uzijue na najua sitofanikiwa,shortly n kwamba kwa kuwa watu wakiomba kazi humu hawakudhulu wew waache na wewe mtu wa tenda komaa na tenda.NAWASILISHA
Mkuu Kuna mwanadamu anakosa shida hasa hasa mbongo Kama Mimi mheshimiwa kiongozi wenu wa saa hii anasemaje kwani asiyefanya kazi na asile na asiye kula afe, so what are you do for the living then, iyo nauli unasema huna osha cars kwa njia na upate doo. Sh 100 ndio inaleta laki elewa hivo.
 
Okimangi

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2018
Messages
763
Points
500

Okimangi

JF-Expert Member
Joined Nov 28, 2018
763 500
Uko tayari wew kufanyishwa kazi wiki nzima bila malipo huku familia yako inalala njaa,ukimuona mtu anaamua kufanya kazi ya kufyeka ujue ana shida na ela na huyo n kibarua malipo yake n ya siku.Aisee we jamaa ndo wale mlipokuwa wadogo mkikosea wazazi wanawapa adhabu ya kula kuku na juisi maana n wavivu wa kula,sisi wenzako tukikosea ni viboko na tunanyimwa msosi ili tukome,TV na redio kwa mjumbe
Mkuu mi naona wewe ni muelewa tena sana na akili unayo sema tu unajichetua, kubali kuanza mwanzo jitahidi hivo hivo acha kuwaza wengine ndio wapo juu, uone wewe huwezi pata.
 
Andy Da Inc

Senior Member
Joined
Mar 2, 2015
Messages
119
Points
250

Andy Da Inc

Senior Member
Joined Mar 2, 2015
119 250
Mkuu Kuna mwanadamu anakosa shida hasa hasa mbongo Kama Mimi mheshimiwa kiongozi wenu wa saa hii anasemaje kwani asiyefanya kazi na asile na asiye kula afe, so what are you do for the living then, iyo nauli unasema huna osha cars kwa njia na upate doo. Sh 100 ndio inaleta laki elewa hivo.
Asante,kuosha gari ni tenda au ni kazi?,basi acha tuoshe magari tupate mtaji nasi tusambaze cement,acha tuombe kazi tupate mtaji pia,kumbe huwa unaelewa bac tu ubishi
 
Forum statistics

Threads 1,367,136
Members 521,667
Posts 33,388,591
Top