..hili jotoo..

Kipaji Halisi

JF-Expert Member
Jan 4, 2012
2,280
1,360
na upepo hakunaaa.
 

Attachments

  • joto 1.jpg
    joto 1.jpg
    12.4 KB · Views: 920
Kuna namna nyingi ya kulikuna hilo tundu...wengine hukunwa na mguu wa tatu...bora hawa wanaojikuna wenyewe
 
Muwasho ukikukuta hata ukiwa hosteli utajikuna tu:
 

Attachments

  • bad-girls.jpg
    bad-girls.jpg
    21.8 KB · Views: 462
Umesema Mkereketwa! Hii kitu inanifanya nichukie sana nyama-choma!


Ee bwana nyama choma noma, haswa hizi za kununua njiani unapokuwa safarini. Haki ya Mungu nilishuhudia mwenyewe Tabora miaka kadhaa iliyopita wakati bado niko nafanya kazi mikoani. Pale stendi ya Tabora mjini kwa nyuma huku kuna kapori ka kishikaji, kuna jamaa kabisa alikamatwa anachuna ngozi mbwa, na mfuko mwingine alikuwa na paka waliokufa tayari. Baada ya kibano akasema ni mchezo wake wa siku nyingi na anawauzia wauzaji pale stendi ili nao wawauzie wasafiri. Yaani nililowa na ile supu niliyonunua kwa ajili ya kula chapati zangu nikaitupilia mbali. Toka siku ile mimi kununua nyama safarini basi. Mwenye taarifa ya huyu jamaa aliyekamatwa tafadhali naomba anijulishe aliishia wapi?
 
Back
Top Bottom