Hili jimbo la Arusha 2020 nina wasiwasi sana

Tajiri Tanzanite

JF-Expert Member
Oct 23, 2016
2,062
3,682
Hapo vip!!

CCM sasa hivi imekuja na strategies mpya, kwa strategies zilizotumika kuchukua majimbo ya kinondoni na siha na kwa Arusha Si ndio zitakuwa applicable vizuri.

Nina wasiwasi Lema 2020....duh!!

But CCM tunaomba mtuletee mtu muungwana, kwasababu inaonekana mtachukua hili jimbo.
 
Wala usiwe na wasiwasi upinzani hauji kwisha Tanzania ni katiba ipo. Labda wabadrishe katiba tena kurudi chama kimoja.

Reform itakayofanyika Chadema ni immense, na CCM watashangaa. 2020 is three solid years from now. Hao wanaondoka sijui kama wanaipwnda CCM it is good for our intelligence which is going to be revamped.

The rejuvanation of the new party, Chadema has started.
 
Wala usiwe na wasiwasi upinzani hauji kwisha Tanzania ni katiba ipo. Labda wabadrishe katiba tena kurudi chama kimoja.

Reform itakayofanyika Chadema ni immense, na CCM watashangaa.
...
The rejuvanation of the new party, Chadema has started.

Nimependa fikra zako, hakika ni pevu. Kama wewe ni sehemu ya uongozi wa CHADEMA, chukua tano, ukifanikisha hilo.

Demokrasia hai ni yenye vyama vingi vya siasa vilivyo hai kisiasa na siyo kiharakati. Kwa hiyo pamoja na kujipanga upya, chama kiwe na viongozi wenye maono na weredi kwa maneno, lugha na matendo.
 
Hapo vip!!

CCM sasa hivi imekuja na strategies mpya, kwa strategies zilizotumika kuchukua majimbo ya kinondoni na siha na kwa Arusha Si ndio zitakuwa applicable vizuri.

Nina wasiwasi Lema 2020....duh!!

But CCM tunaomba mtuletee mtu muungwana, kwasababu inaonekana mtachukua hili jimbo.
Analysis yako siyo sawa.
sikia: kama wewe siyo ccm, utakubaliana na mimi. Are you serious CCM ilishinda Kinondoni na Siha? Akwilina angelikufa unadhani?
 
Attachments

  • polepole.mp4
    711.9 KB · Views: 30
CCM JIMBO LOLOTE WANAWEZA KUCHUKUA ISIPOKUWA MBEYA NA KARATU.HAYO MAJIMBO WANAJIELEWA KUTUMIA NGUVU KWAO NDYO UNAHARIBU KABISA
 
Bora Matilda kuliko Msando,japo najua Mathilda na Philemoni ishakuwa story lakini ndani ya CCM mkoa wa Arusha kuna watu wazuri tu.. Zaidi ya Mrisho Gambo na Msando
 
Tunataka upinzani madhubuti wa kuipa challenge CCM, ni ngumu kukiri ila ni ukweli tupu tokea Slaa aondoke hakuna upinzani Tanzania na simuoni wa afadhali hata wa kumsimamisha kwenye position ya urais hayupo.
 
Hapo vip!!

CCM sasa hivi imekuja na strategies mpya, kwa strategies zilizotumika kuchukua majimbo ya kinondoni na siha na kwa Arusha Si ndio zitakuwa applicable vizuri.

Nina wasiwasi Lema 2020....duh!!

But CCM tunaomba mtuletee mtu muungwana, kwasababu inaonekana mtachukua hili jimbo.
 
Hapo vip!!

CCM sasa hivi imekuja na strategies mpya, kwa strategies zilizotumika kuchukua majimbo ya kinondoni na siha na kwa Arusha Si ndio zitakuwa applicable vizuri.

Nina wasiwasi Lema 2020....duh!!

But CCM tunaomba mtuletee mtu muungwana, kwasababu inaonekana mtachukua hili jimbo.
Siyo strategies mpya....

Hivi huo ubabe uliotumika hapo Kinondoni hadi kupoteza maisha ya hao vijana wawili ndiyo unaweza kuita ni strategies mpya??

Kama kweli CCM inajiamini kuwa inakubalika kweli, ni kwanini haiachi uchaguzi kuwa huru na haki??

Mbona siku hizi mizengwe ni mingi mno?
 
CCM JIMBO LOLOTE WANAWEZA KUCHUKUA ISIPOKUWA MBEYA NA KARATU.HAYO MAJIMBO WANAJIELEWA KUTUMIA NGUVU KWAO NDYO UNAHARIBU KABISA
hata mbeya na karatu chadema hawana ubavu tena.mbinu ya siha na kinondoni ikitumia jimbo lolote hata la mbowe linaondoka
 
Siku hizi hakuna uchaguzi bali kuna vita kati ya jeshi la Polisi+NEC+DED+RC na Upinzani, ccm wala haishindi siku hizi inateuliwa tu
 
Hapo vip!!

CCM sasa hivi imekuja na strategies mpya, kwa strategies zilizotumika kuchukua majimbo ya kinondoni na siha na kwa Arusha Si ndio zitakuwa applicable vizuri.

Nina wasiwasi Lema 2020....duh!!

But CCM tunaomba mtuletee mtu muungwana, kwasababu inaonekana mtachukua hili jimbo.
Miaka 10 atakuwe amepata mtaji wa kujiajiri ni vizuri aingine mwingine; hii ni nchi ya maskini kidogo tulichonacho tugawane
 
Back
Top Bottom