Hili jengo lilijengwa Budapest Hungary 1910 kabla ya Mapinduzi ya Kijamaa

Sky Eclat

JF-Expert Member
Oct 17, 2012
57,595
215,272
Eclectic reception area under a glass dome in Párisi Udvar(Paris Court), a former bank building built in the 1910s which was recently restored and renovated into a luxury hotel in downtown Budapest, Hungary.
1624575335531.png
 
Wenzetu wako mbali sana,

Ata baada ya miaka zaid ya 100 sasa tangu lijengwe, bado majengo mazur kama hayo bongo bado ni ya kuhesabu sana..

Afu kuna jinga moja linakuja kusema,
"Mtu wa kwanza kuwepo duniani alikua mwafrika, wazungu wametuiga" PAMBAFU
 
Wakati huo mababu zetu waliishi kwenye maisha ya hovyo sana, wengine hata walikua wanaishi maporini, tukubali tusikubali ukweli wazungu walitusaidia sana kutuletea haya tunayoyaona leo huku, reli, umeme na kadhalika.
 
Tofauti kielimu kati yao na sisi ilikua kubwa sana. Ndiyo maana waliweza kutengeneza mikataba mibovu na kujitwalia ardhi yetu kwa vioo
 
Tofauti kielimu kati yao na sisi ilikua kubwa sana. Ndiyo maana waliweza kutengeneza mikataba mibovu na kujitwalia ardhi yetu kwa vioo
Vipi leo tumewafikia kielimu? Leo hii bila mzungu kuja akuambie wapi iliko gesi kwenye ardhi yako utaishia kulima mihogo.
Ndio maana inabidi umuachie aje agundue gesi kwako, ajiandikie mikataba kisha ajichukulie na kukuachia chenji.
 
Back
Top Bottom