Hili janga linainyemelea jiji la dsm!

mgen

JF-Expert Member
Nov 18, 2010
22,628
8,391
Nimefikiria hatari ya Moto! Ikitokea magari yanaungua yakiwa kwenye msongamano!
Kuna kila sababu ya kuisukuma Serkali kuiondoa haraka, kero ya Msongamano wa magari hasa Asubuhi na jioni kwa kuanzisha haraka Usafiri wa Train. Hasa wakati wa asubuhi na jioni. Kutoka Pugu hadi Station, kutoka Ubungo hadi Station, Kutoka Mbagala hadi mjini, na Ferry boat kutoka Kunduchi hadi ferry, Itasaidia kwa kiasi kikubwa kupunguza msongamano wa Magari, na kutuokoa na janga linalo tunyemelea! Tujifunze kutokana na Makosa, kabla hatuja unda Tume!
 
Rais wako JK alisema anaebisha kuwa Tz hakuna maendeleo atazame msururu wa magari leo we unasema waondoe msongamano watakuelewa?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom