6321
JF-Expert Member
- Oct 16, 2016
- 649
- 1,116
Habari za j2.
Wiki 2 zilizopita nilikuwa kisiwa cha mafia, katika refreshment ofisin. Nikamuaga mama yenu mdogo kuwa naenda huko kwa muda wa hizo wiki mbili. Ni kurudi salama kabisa.
Sasa siku ya alhamisi nilikuwa najisikia vibaya nikaenda hospitali nikakutwa na UTI, hapo ndio mkasa ulipoanzia mama yenu mdogo ameshindwa kabisa kuelewa anadai UTI nimeipata huko mafia kwa kulala na mwanamke mwingine.
Je ni kweli mwanaume anapata UTI kwa kujamiiana na mwanamke tu?
Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app