HILI JAMBO LIMENISHANGAZA SANA.

6321

JF-Expert Member
Oct 16, 2016
617
1,000
Habari za j2.

Wiki 2 zilizopita nilikuwa kisiwa cha mafia, katika refreshment ofisin. Nikamuaga mama yenu mdogo kuwa naenda huko kwa muda wa hizo wiki mbili. Ni kurudi salama kabisa.

Sasa siku ya alhamisi nilikuwa najisikia vibaya nikaenda hospitali nikakutwa na UTI, hapo ndio mkasa ulipoanzia mama yenu mdogo ameshindwa kabisa kuelewa anadai UTI nimeipata huko mafia kwa kulala na mwanamke mwingine.

Je ni kweli mwanaume anapata UTI kwa kujamiiana na mwanamke tu?


Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
 

fyddell

JF-Expert Member
Dec 19, 2011
7,551
2,000
UTI is not among the STD's. Mwambie atulie au muende hospitali kwa ushauri ili aridhike.
 

if cap fits

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
1,199
2,000
U.t.i pia huambukizwa kwa ngono.sahihi kabisa.hasa ukikuta mwanamke mwenye u.t.i iliyo komaa,hauwezi toka salama
 

6321

JF-Expert Member
Oct 16, 2016
617
1,000
Cha kukusaidia, Mbebe mwende naye hosp, tena mwambie achague Hosp anayotaka yeye,, Mkasaidiwe hilo swali.Inamaana yeye anavyoumwa UTI, anakua ameitoa kwa Mwanaume ??

( Wachepukaji, huwa na hofu ya kua mwenzake anachepuka ivoivo)

Mtoa mada, hizo wiki mbili ambazo hukuwepo, jua kwamba Ulichapiwa.... We jua tuuu ivoivo jua tu.


Maisha haya bana
ule uzi wako ndio reference yangu, me sichapiwi

Sent from my SM-G9250 using JamiiForums mobile app
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom