Hili hapana, Hayati Magufuli anasingiziwa

Samia, kiutendaji amemwacha mbali sana Magufuli. Magufuli alikuwa na speed kubwa katika propaganda, na siyo katila utendaji. Mimi siyo shabiki wa Samia, lakini ukimlinganisha Samia na Magufuli, Samia pamoja na mapungufu yake...
Speed yake ni kali sana Gesi, bando, tozo, mbolea, mafuta, vifaa vya ujenzi mwambie apunguze tutafika tumechoka sanaaa...
 
Baada ya hayati Magufuli kufariki maadui zake kazi ikabaki moja tu kuwekeza kwenye propaganda chafu dhidi yake, ili kumuondoa Magufuli mioyoni mwa watanzania wengi walioumuelewa na kuipenda kazi yake...
Mkuu ni vzr kukubali matokeo kua imeisha hiyo, itapunguza sana mentality ya kasiriko!!
 
Samia, kiutendaji amemwacha mbali sana Magufuli. Magufuli alikuwa na speed kubwa katika propaganda, na siyo katila utendaji. Mimi siyo shabiki wa Samia, lakini ukimlinganisha Samia na Magufuli, Samia pamoja na mapungufu yake...
Hivi bado kuna binadamu kutoka bara Afrika mnaamini fikra za kuambiwa na beberu kuwa unakaribia kupaa, na wewe kama zuzu unakimbia ukishangilia, 🙁!.
 
Mkuu ni vzr kukubali matokeo kua imeisha hiyo, itapunguza sana mentality ya kasiriko!!
Kwahiyo tuachane na mapambio ya kina yesu na Muhammad?,kwa kuwa the history past?
Na kwanini somo la historia linafundishwa mashuleni ?

Mbona kila siku Nyerere anaongelewa.why not Magufuli?
 
Mungu mjalie Rais Samia angalau afikie hata nusu ya speed ya hayati Magufuli mambo yatakwenda
Speed ya Magufuli ya kuua wakosoaji kama akina Ben Saanane, kushambulia akina Tundu Lissu, speed ya kupora fedha za wafanyabiashara, HATUITAKI kabisa.

Speed ya kuiba uchaguzi wa Serikali za Mitaa wa 2019 na uchaguzi Mkuu wa 2020 ni UWENDAWAZIMU na kutuharibia nchi.

Hamna mtu anatamani turudi kule kwa kuambiwa jukwaani na Mkuu wa Nchi "Kaa na mavi yako" au siku Ina massa 48.

Samia nenda kwa spidi yako tu, wanaotaka ya Mwendazake wamfuate huko ahera
 
Ni kichaa pekee nchi hii atakuelewa kwa huu ujinga wa kupika,mega projects ndio zinathibitisha umwamba wake ,haijawahi tokea.

Unaleta za wazungu wakikupiga wanakutengenezea figure ya kuwa Una perform,huijui dunia wewe,kariri tu makaratasi
Wewe ni mhanga wa Magufuli kwa vile ulikuwa unategemea taarifa potofu za TBC. Una smart phone na bundle lakini ujasiri wa kutafuta taarifa mbadala huna.

Magufuli aliwekeza sana kwenye vichwa vya mapopoma kama wewe thetallest
 
Kwahiyo tuachane na mapambio ya kina yesu na Muhammad?,kwa kuwa the history past?
Na kwanini somo la historia linafundishwa mashuleni ?

Mbona kila siku Nyerere anaongelewa.why not Magufuli?
Usilinganishe mitume na huyo unaemuabudu, pili teacher alilifanyia Taifa jambo la kukumbukwa Tanzania na Africa nzima 🙌. Hii biashara ya kujenga madaraja ndo mnataka iwe legacy? Huo ni wajibu ambao hata watanguliz wake wamefanya hivyo!! Over!!!
 
Hata wafanye nini magufuli hawezo toka kwenye mioyo ya Watanzania, hizi kelele za humu na kakikundi ka watu wachache mnoo ata 50 hawafiki.
Magufuli angeruhusu vyama vya siasa kufanya kazi kwa uhuru, angeacha chaguzi za 2019 (serikali za mitaa) na 2020 zifanyike kwa haki na uwazi, angeruhusu vyombo vya habari kufanya kazi kwa uhuru na uwazi na watanzania kutoa mawazo kwa uhuru bila uoga, hakika tungeweza kupima na kujionea jinsi alivyokuwa akipendwa na wengi sana nchini.

Sasa kipimo pekee tunachoelekezwa ni ule umati mkubwa uliokuwa ukijitokeza kuaga mwili wake baada ya kufariki. Tatizo ni kuwa huwezi kupata takwimu katika matukio hayo. Tanzania ina watu milioni 60. Hata asilimia 10 tu hawawezi kujitokeza kwenye mikusanyiko ya hadhara hata ukijumlisha Dar es Salaam, Zanzibar, Dodoma na Mwanza.
 
Back
Top Bottom