Hili gwaride limenishinda, msaada wenu jf

Major

JF-Expert Member
Dec 20, 2007
1,865
2,439
Jamani hii story yangu imefutika gafla ktk mtandao, sijui sababu ni ni, hapa tuko huru kuzungumzia mambo ya mapenzi yanayotusibu sisi au marafiki zetu, sasa hii inanihusu mimi mwenyewe kosa langu ni nini?.Kwa wale wanaojua mkasa ulionipata naomba tuendelee, hapa natuma tena picha za, Doroth na Mama yake,ambao ni Wanew zealend, ninowamega wote mtoto na mama yake

images
images
 
waombe msamaha
afu wale wapo juu kiteknolojia ikiwa watajua umewabandka picha zao itakuwaje?#
hama mji na usirudie tena dhambi iyo
nenda kwa aman..USIWE MKAID NA UKIKAID SHNGO YAKO ITEGUKE.
AMEN.
 
Hii thread yako haikufutika ila ni mods wameihamisha au kuiblock kutokana na kukiuka masharti ya JF,hivyo hata hii jiandae tu mods wakipita hapa ujue nayo itafutwa.
 
waombe msamaha
afu wale wapo juu kiteknolojia ikiwa watajua umewabandka picha zao itakuwaje?#
hama mji na usirudie tena dhambi iyo
nenda kwa aman..USIWE MKAID NA UKIKAID SHNGO YAKO ITEGUKE.
AMEN.




Bacha kakuudhi nini leo mbona umekuwa mkali sana?
 
mamo mengine bana kwani ungesema bila kuweka picha tusingeelewa ???huuni ushalilishaji..mbona wewe hujaweka ya kwako
 
Jamani hii story yangu imefutika gafla ktk mtandao,

chunguli hapa; https://www.jamiiforums.com/mambo-ya-kikubwa/95520-jamani-hili-gwaride-ni-gumu-limenishinda.html


sijui sababu ni ni, hapa tuko huru kuzungumzia mambo ya mapenzi yanayotusibu sisi au marafiki zetu, sasa hii inanihusu mimi mwenyewe kosa langu ni nini?.Kwa wale wanaojua mkasa ulionipata naomba tuendelee, hapa natuma tena picha za, Doroth na Mama yake,ambao ni Wanew zealend, ninowamega wote mtoto na mama yake

Soma tena haya; https://www.jamiiforums.com/mahusia...exually-graphic-material-in-this-section.html

Uwe na Amani. :pray2:
 
Mwanzo nilikuwa nakaa AUCKLAND, sasa hivi nimehamia WELLINGTON, Nina kama miezi mitano hivi sasa ktk makao mapya na hawa ni majirani zangu wa nyumba ya pili.Mwanzo nilikuwa nammega Doroth, kama mwezi mmoja sasa umepita Nimeanza kummega na mama yake, ila mama yake anaonekana kuchanganyikiwa na dozi anazopata kwangu, hivi sasa amekuwa kama chizi, ana mume wake. lakini huwa namuonaga siku za jumamosi na jumapili, tu, Doroth yuko chuo kikuu, naye huwa anakujaga nyumbani siku za jumamosi na jumapili tu, Mama hafanyi kazi yeye ni mama wa nyumbani, Mimi kazini huwa nakwenda saa saba mchana na kurudi ni saa tisa usiku. Sasa hivi mama ana wivu na mimi hadi kamchukia mwanaye, kwa sababu siku ya jumamosi na jumapili ni zamu ya Doroth, mama anataka awe anabaki huko huko shuleni ili afaidi mambo mwenyewe,
 
Si bora mimi nimeweka picha zao kawaida, mbona huku wazungu wanaweka picha za dada zetu wakimegwa na mbwa, sasa si bora hii,kwani wewe hawa ni shangazi au wajomba zako
 
Nami nilijaribu kukujibu nikakuta ishahamishwa huko wanakojua wenyewe.
Ni hivi ndugu yangu,
sijui ni lini haya mambo yamekuwa so famous and good in the eyes of the people such that unaomba ushauri wa kuhalalisha dhambi kubwa namna hii.
Muogope Mungu ndugu yangu,
Hebu imagine ni dada yako na mama yako wanafanyiwa hivyo,
au
fikiri ni mkeo na bintiyo wa kike!!!!
Hata tuachane na hayo - labda conscience yako imekufa-
at least Muogope Mungu.
Nakushauri utubu sana mbele za Mungu. umuombe akusamehe na akusaidie kugeuka na kubadilika kabisa from that sinful act.
Then utajua jambo la kufanya.
Hebu chukua mfano wa Yusufu na mke wa bwana wake..hiyo hadithi itakusaidia kufanya uamuzi sahihi na wenye busara.
I really hope and pray that you will choose the right way!
Ubarikiwe...
 
Back
Top Bottom