Hili Gazeti liombe radhi kwa umma na kwa Mh. Magufuli

Mtini

JF-Expert Member
Apr 28, 2011
1,491
2,355
FB_IMG_1459139231917.jpg
Najiuliza mhariri alikuwa busy na nini hadi kupitiwa namna hii?
 
Hilo gazeti litakuwa ni uhuru, magazeti makini kama mwananchi, Tanzania daima, majira, RAIA mwema huwezi kukuta makosa ya namna hiyo
 
Hahahahahaaaa

Mwandishi na mhariri walikuwa wamekula viloba tu
 
Mwandishi kafanya makusudi. Maanake yake hapo ni kuwa Magufuli ndio kaamua matokeo ya uchaguzi Zanzibar.
 
Back
Top Bottom