SAIZI YANGU
JF-Expert Member
- Nov 8, 2013
- 381
- 83
Yaani hakuna habari positive ya nchi hii ambayo itaandikwa ukurasa wa mbele na kuipa uzito unaostahili kwenye Gazeti la Mwananchi.
Nimefuatilia kwa muda mrefu sana na ukweli nimeanza kuamini yaliyosemwa huko nyumaaa kuwa Gazeti hili lina ajenda ya kuona nchi yetu inaingia kwenye mgogoro na machafuko kama walivyofanikiwa huko Kenya.
Uongozi wa Mwananchi tunaomba mtuacheeeee.