Hili gari hili !

Zamaulid

JF-Expert Member
May 25, 2009
18,652
13,470
1-unnamed-1.jpg


hivi jamaa alirudi nalo jana home au aliliacha Taifa?!
 
Jana hakwenda tulikuwa nae hapa river road tunaangalia kwa TV.
du na hakuwa nalo hapo nlipokuwa mnaangalia?!na jaribu kufikiri unahitajika ujasiri wa aina gani kupita nalo mitaani kwa siku kama ya jana jioni!
 
Lilikwepo sema ndipo anapopaki. Angekuja nalo taifa nahisi angetaman alibebe katika Rambo nyeusi ya mia 500.
 
Back
Top Bottom