Hili gari haitendi haki kwa abiria, msaada wa haraka unahitajika

Too face

JF-Expert Member
Feb 9, 2015
223
199
Za usiku wakuu,

Naandika kwa masikitiko makubwa mno.

Gari aina ya JMC T 702 DKK Kutoka Dar kwenda Singida tarehe 16/1/2022 iliyoanzia Mbezi, Magufuli Terminal imeharibika njiani maeneo ya MAGUBIKE kuanzia majira ya saa tano asubuhi hadi muda huu ninavyoandika bila kutoa msaada wowote kwa abiria.

Mbaya zaidi kuna wanafunzi na watoto wadogo ambao wanasubiriwa na wazazi wao vituoni.

Hivi hali hii ikitokea nini kifanyike?

Msaada please.

IMG_20220116_133818_428.jpg
IMG_20220116_172428_714.jpg
IMG_20220116_205452_707.jpg
 
Mh mna moyo 5 asubuhi mpaka mida hii mmewekwa tu hapo na hamjaanzisha varangati?
 
Huko hamna gari inayoitwa newforce au golden deer inayopiga route za huko. Usafiri wa uhakika huu Mana Wana backup ya magari mengi sana.
 
Wahusika Wa Basi si mpo nao hapo?

Wamewaeleza nini mpaka mmekubali kuvumilia muda wote huo?

Sheria ya LATRA inasema likitokea Tatizo ni ndani ya Masaa mawili linavumilika. Baada ya hapo Mwenye basi anawajibika kuwanunulia Chakula abiria wote na kuwatafutia Usafiri Mbadala Mara moja.
 
  • Thanks
Reactions: BRB
Za usiku wakuu .
Naandikakwa masikitiko makubwa mno

Gari Aina ya JMC T 702 DKK Kutoka Dar kwendasingida tarehe 16/1/2022 iliyoanzia mbezi Magufuli terminal imeharibika njiani maeneo ya MAGUBIKE kuanzia majira ya SAA tano asubuh Hadi muda huu ninavyoandika bila kutoa msaada wowote kwa abiria.

Mbaya zaidi Kuna wanafunzi na watoto wadogo ambao wanasubiriwa na WAZAZI wao vituoni.

Hivi Hali hii ikitokea Nini kifanyike?

Msaada please..



View attachment 2084434View attachment 2084435View attachment 2084436
Leo ndio ninasikia kwamba kuna gari AINA YA JMC!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom