Hili bunge la saa moja na nusu kwa siku si kuibiana huku? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hili bunge la saa moja na nusu kwa siku si kuibiana huku?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by dosama, Jun 13, 2012.

 1. dosama

  dosama JF-Expert Member

  #1
  Jun 13, 2012
  Joined: Dec 25, 2010
  Messages: 786
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  Kama mtunga sheria anakaa ofisini kwa saa moja na nusu then anapewa posho ya kikao ndo nini?

  Huku maofisini nasi tukifanya hivi tutafikaaaaaa?
   
 2. G

  Gagnija JF-Expert Member

  #2
  Jun 13, 2012
  Joined: Apr 28, 2006
  Messages: 6,317
  Likes Received: 618
  Trophy Points: 280
  Hicho ndicho kinachofanyika. Kila mtu sehemu yake anaangalia ni mchongo gani unaweza kumtoa. Namkumbuka Padri mmoja mwanzilishi wa redio ya ujirani pale Dar. Wakati anaaga kurudi kwao, alisema sasa hivi ni vigumu sana kumpata mtanzania mwaminifu. Hakusema kuwa hawapo, lakini ngumu sana kuwapata.
   
 3. Return Of Undertaker

  Return Of Undertaker JF-Expert Member

  #3
  Jun 13, 2012
  Joined: Jun 12, 2012
  Messages: 2,378
  Likes Received: 8,537
  Trophy Points: 280
  Ngoja na sie madaktari tufanye hivyo tuone itakuwaje
   
Loading...