huko njiani hamkutani na matrafiki!Hata kama Musoma ni mbali lakini kwa driving hiii. Hapana aiseee tutamlaumu Mungu bure. Nimetimiza wajibu wangu
njia nzuri,kweli umetimiza wajibu wako!hatukusimama masna mwendo wetu ni reasonable. Nimeandika hii taarifa kwenye karatasi nikawaangushia trafiki WA Jirani na Chalinze sijui kama wata-act
Linaitwa MUSOMA express Reg No. T 289 BEQ anaendesha vibaya na Ana overtake bila mpangilio. Nyuma yake lipo Nganga kama tunaweza kuripoti tusaidiane tupunguze ajali zisizo za lazima. Tunakaribia Chalinze mimi Niko kwenye basi tofauti na hayo
.. 0787668306 au 0755365402 pinga # hiyo niya Central Police Control Room.
Wewe,halali yakimbie
unadhan musoma ni DAR-MORO?YATAFIKA SAA NGAPI MUSOMA IKIWA KESHO
LINATAKIWA LIRUDI DAR?..MWACHE DEREVA SI MAKOSA YAKE NI MAKOSA YA BOSI
WAKE..NB:SIJAWAHI SIKIA MUSOMA EXPRESS IMECHINJA.
Wewe,halali yakimbie unadhan musoma ni DAR-MORO?YATAFIKA SAA NGAPI MUSOMA IKIWA KESHO LINATAKIWA LIRUDI DAR?..MWACHE DEREVA SI MAKOSA YAKE NI MAKOSA YA BOSI WAKE..NB:SIJAWAHI SIKIA MUSOMA EXPRESS IMECHINJA.
kwenye mabus huwa kuna namba za makamanda wa polisi wa kila mkoa? jaribu kupiga maana sie huku hatujui kilichotokea, pole sana vumilia - vipi Leina tours, na Ngorika hayajakupita bado? ninakutakia safari njema
Wewe,halali yakimbie unadhan musoma ni DAR-MORO?YATAFIKA SAA NGAPI MUSOMA IKIWA KESHO LINATAKIWA LIRUDI DAR?..MWACHE DEREVA SI MAKOSA YAKE NI MAKOSA YA BOSI WAKE..NB:SIJAWAHI SIKIA MUSOMA EXPRESS IMECHINJA.