Hili Basi litaua

Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
55,180
85,339
Linaitwa MUSOMA express Reg No. T 289 BEQ anaendesha vibaya na Ana overtake bila mpangilio. Nyuma yake lipo Nganga kama tunaweza kuripoti tusaidiane tupunguze ajali zisizo za lazima. Tunakaribia Chalinze mimi Niko kwenye basi tofauti na hayo
 
Hata kama Musoma ni mbali lakini kwa driving hiii. Hapana aiseee tutamlaumu Mungu bure. Nimetimiza wajibu wangu
 
huko njiani hamkutani na matrafiki!

hatukusimama masna mwendo wetu ni reasonable. Nimeandika hii taarifa kwenye karatasi nikawaangushia trafiki WA Jirani na Chalinze sijui kama wata-act
 
Halafu baadae waseme wenye magari wanatoa kafara, si ajabu ma abiria ndani ya gari husika yamekaa kimya kama mizigo badala ya kujua kwamba their lives is their first responsibility.
 
Kwenye mabasi siku hizi ni lazima zibandikwe namba za trafiki barabarani au makao makuu, muombe kondakta akupe hizo namba na utume sms fasta
 
Lazima watakuwa wamebandika number za matrafiki mlangoni chukua name upige tena kwa mkoa was pwani akikamatwa cha moto atakiona
 
kwenye mabus huwa kuna namba za makamanda wa polisi wa kila mkoa? jaribu kupiga maana sie huku hatujui kilichotokea, pole sana vumilia - vipi Leina tours, na Ngorika hayajakupita bado? ninakutakia safari njema
 
hatukusimama masna mwendo wetu ni reasonable. Nimeandika hii taarifa kwenye karatasi nikawaangushia trafiki WA Jirani na Chalinze sijui kama wata-act
njia nzuri,kweli umetimiza wajibu wako!
 
Linaitwa MUSOMA express Reg No. T 289 BEQ anaendesha vibaya na Ana overtake bila mpangilio. Nyuma yake lipo Nganga kama tunaweza kuripoti tusaidiane tupunguze ajali zisizo za lazima. Tunakaribia Chalinze mimi Niko kwenye basi tofauti na hayo

.. 0787668306 au 0755365402 pinga # hiyo niya Central Police Control Room.
 
Musoma Express kwa njia ya Mwanza-Dar ndio mabasi yaendayo hovyo na papara sana.

Mamlaka waitazame kampuni hiyo kabla haijachinja binaadam wenzetu.
 
Wewe,halali yakimbie unadhan musoma ni DAR-MORO?YATAFIKA SAA NGAPI MUSOMA IKIWA KESHO LINATAKIWA LIRUDI DAR?..MWACHE DEREVA SI MAKOSA YAKE NI MAKOSA YA BOSI WAKE..NB:SIJAWAHI SIKIA MUSOMA EXPRESS IMECHINJA.
 
Hata kama bhana, linakimbia sana aisee, siku moja lilitupita basi letu likawa kama limesimama tu na within five mins hatukuliona tena
Wewe,halali yakimbie
unadhan musoma ni DAR-MORO?YATAFIKA SAA NGAPI MUSOMA IKIWA KESHO
LINATAKIWA LIRUDI DAR?..MWACHE DEREVA SI MAKOSA YAKE NI MAKOSA YA BOSI
WAKE..NB:SIJAWAHI SIKIA MUSOMA EXPRESS IMECHINJA.
 
Wewe,halali yakimbie unadhan musoma ni DAR-MORO?YATAFIKA SAA NGAPI MUSOMA IKIWA KESHO LINATAKIWA LIRUDI DAR?..MWACHE DEREVA SI MAKOSA YAKE NI MAKOSA YA BOSI WAKE..NB:SIJAWAHI SIKIA MUSOMA EXPRESS IMECHINJA.

Kwa hiyo unataka ichinje kabisa ndo tuchukue hatua!?
 
Lugano5, unasubiri mpaka uchinjwe ndio uzinduke?? ni kweli Musoma ni mbali lakini ukumbuke kuna msemo unasema "KAWIA UFIKE"
 
kwenye mabus huwa kuna namba za makamanda wa polisi wa kila mkoa? jaribu kupiga maana sie huku hatujui kilichotokea, pole sana vumilia - vipi Leina tours, na Ngorika hayajakupita bado? ninakutakia safari njema

Leina ni balaa!!!! yaani huwa haya mabasi yanapita basi zingine kama zimepaki wakati nazo unakuta ziko full speed
 
Wewe,halali yakimbie unadhan musoma ni DAR-MORO?YATAFIKA SAA NGAPI MUSOMA IKIWA KESHO LINATAKIWA LIRUDI DAR?..MWACHE DEREVA SI MAKOSA YAKE NI MAKOSA YA BOSI WAKE..NB:SIJAWAHI SIKIA MUSOMA EXPRESS IMECHINJA.

...angalienj isije kuwa kama hii:
"MAAFA THAILAND:Watu 29 wafa, 4 wajeruhiwa vibaya baada ya basi walilokuwa wanasafiria kutumbukia bondeni usiku wa kuamkia leo Kaskazini Mashariki mwa nchi hiyo.
 
Similar Discussions

4 Reactions
Reply
Back
Top Bottom