HILI BASI LA CHADEMA KWELI LITAVUKA HLO DARAJA LA MWAKA 2015? NA TUWACHORe

Herbalist Dr MziziMkavu

JF-Expert Member
Feb 3, 2009
42,296
33,079
1475876_450281575078562_1279034616_n.jpg
 
Chombo hicho kitavuka isipokuwa
misukosuko ipo hata kwenye familia
zetu nadhani hicho chaweza tokea.
 
Livuke liende wapi? Daraja tumewajengea sisi afu wanaanza kuponda, sasa ngoja tulitoe kabisa
 
Watavuka wakiacha udini na ukabila

Udini CHADEMA?you make me laugh man!
JK
Dr Balal
Kinana
Shein
Balozi Seif Idd
Vuai
Mama Migiro
Nape

Hawa ndiyo cream ya CCM kwenye maamuzi na wote ni WAISLAM!

CCM ni chama cha KIISLAM
 
Sidhani kama litavuka tulilipenda na kuliamini lakini limeondoa umoja wa kitaifa, wengine tunahisi kubaguliwa kwa sababu shujaa wa mabadiliko wamemtoa, ukiachia mbali waliomtoa lakini hata waliobaki ni kama wanawakilisha Vatican na sio Tanzania.
 
Nadhan tatizo ni Dereva (Mbowe) kutoelewana na konda (Zitto) kwa hofu ya kuwa konda anataka kuwa dereva wa bas lao. kwahiyo sidhan kama watavuka salama kweli

Labda tajir wao (kamat kuu) atumie akil kuuona mchezo wa Dereva (Mbowe), kung'ang'ania kuendesha wakat baadh ya abiria wake wanamlalamikia, kwahiyo kaz kubwa anayo tajir kutatua tatizo kubwa ambalo lipo kwa dereva na baadh ya abiria kuhusu sheria za barabaran (kanuni za chama, uchaguz)

Kama Tajir ataendekeza kumsikiliza dereva na michezo yake kwa konda na wengine, bas hilo gar lao halitapita hapo, na ukwel ni kwamba madaraja kama hayo yako mengi sana kuelekea 2015.
 
Wadau me naona basi lipo imara,tatizo daraja,hebu liangalieni tena daraja ndo mje na comment ya kuvuka au lah,picha inaonesha basi lipo kwenye hali nzuri
 
Back
Top Bottom