kitendo cha wabunge wa ccm kumshangilia mbunge wa sumbawanga aliyerudishiwa ubunge wake kinyemela alipokuwa anaingia bungeni saizi naona kama ni kitendo cha kuwakeji wana sumbawanga ambao awakumchagua huyu bwana mdogo kuwa mbunge wao ila kwa hila za mahakama za ccm ndio wameamua kumrudisha bungeni na wenzake wakimshangilia kuwa wao ni mashujaa kwa kupora maamzi ya wananchi
Lakini nacho kiamini mwisho wao ni 2015
Lakini nacho kiamini mwisho wao ni 2015