Hilary Aeshi apokelewa Bungeni kama shujaa

zamlock

JF-Expert Member
Dec 25, 2010
3,840
657
kitendo cha wabunge wa ccm kumshangilia mbunge wa sumbawanga aliyerudishiwa ubunge wake kinyemela alipokuwa anaingia bungeni saizi naona kama ni kitendo cha kuwakeji wana sumbawanga ambao awakumchagua huyu bwana mdogo kuwa mbunge wao ila kwa hila za mahakama za ccm ndio wameamua kumrudisha bungeni na wenzake wakimshangilia kuwa wao ni mashujaa kwa kupora maamzi ya wananchi
Lakini nacho kiamini mwisho wao ni 2015
 
Mbunge wa sumbawanga mjini Hilary Aeshy aliyeshinda rufaa ya kuvuliwa ubunge na hivyo kurudishiwa ubunge wake ameingia bungeni na kupokelewa kama shujaa ambapo wabunge wamempigia makofi na kupiga vigelegele kuonyesha furaha yao, kitendo kilichofanya shughuli za bunge kusimama kwa muda na kulazimika mwenyekiti wa bunge kuomba order kwa wabunge.
MY TAKE; hongera aeshi
 
Mbona mna mambo ya kike? Kama wewe hukumpigia kura wenzio walimpigia kura. Mkishinda cdm ktk kesi ni haki wishinda wengine mahakama haijatenda haki,kwa tabia hii cdm ipo cku mtaa vaa shela.
 
Ukiwa mwanaccm hata kama ni profesa ynakuwa na akili za kitaahira!!!yale mangua ya kijani yanawalevya sana!!
 
  • Thanks
Reactions: Ptz
thred ya kimipasho ya kina hadija kopa...tulia dawa iingie vizuri...ni furaha kuu kwa wananchi wa sumbawanga mbunge wao kurudi bungeni akawatetee
 
Mbona mna mambo ya kike? Kama wewe hukumpigia kura wenzio walimpigia kura. Mkishinda cdm ktk kesi ni haki wishinda wengine mahakama haijatenda haki,kwa tabia hii cdm ipo cku mtaa vaa shela.
Kweli nyani haoni kundule,mbona mgulu chemba anavaa shela humsemi....mahakama sio huru na ikifurukuta kutends haki huyo hakimu anahamishiwa mtwara eti ndio mkoa wa adhabu kwa sababu ni duni kimaendeleo na masisiem mmewatelekeza....nyamb...fff
 
Mbona mna mambo ya kike? Kama wewe hukumpigia kura wenzio walimpigia kura. Mkishinda cdm ktk kesi ni haki wishinda wengine mahakama haijatenda haki,kwa tabia hii cdm ipo cku mtaa vaa shela.

Mambo ya kike yakoje' ? Sasa tusiandike ukwel wa jambo lenyewe'? Wakati ndivyo ulivyo ukwel? Kwaani yule jaji aliyetengua ushindi wa huyu mbunge alikuwa mjinga? Na maagizo yakatolewa na ccm kuwa arudishiwe ubunge wake mbona ni vitu ambavyo viko wazi ndugu...kama ww ni mwana siasa fuatilia mambo na uwe mtafiti utafanikiwa zaidi
 
Mbunge wa sumbawanga mjini Hilary Aeshy aliyeshinda rufaa ya kuvuliwa ubunge na hivyo kurudishiwa ubunge wake ameingia bungeni na kupokelewa kama shujaa ambapo wabunge wamempigia makofi na kupiga vigelegele kuonyesha furaha yao, kitendo kilichofanya shughuli za bunge kusimama kwa muda na kulazimika mwenyekiti wa bunge kuomba order kwa wabunge.
MY TAKE; hongera aeshi

Saidia Taifa stars ishinde mkuu achana na hao wanaotumia bunge kama ukumbi wa ngonjera ala!
 
Mbona mna mambo ya kike? Kama wewe hukumpigia kura wenzio walimpigia kura. Mkishinda cdm ktk kesi ni haki wishinda wengine mahakama haijatenda haki,kwa tabia hii cdm ipo cku mtaa vaa shela.

familia ya panya...
 
thred ya kimipasho ya kina hadija kopa...tulia dawa iingie vizuri...ni furaha kuu kwa wananchi wa sumbawanga mbuange wao kurudi bungeni akawatetee
na wewe ni mwanasumbwanga au mlala kwa Aeshi? Njaa mbaya sana jamani.
 
Angalia hata jina eti utaifa kwanza? utaifa kwanza mwizi wa kura, mwizi na mbakaji wa Demokrasia
 
kitendo cha wabunge wa ccm kumshangilia mbunge wa sumbawanga aliyerudishiwa ubunge wake kinyemela alipokuwa anaingia bungeni saizi naona kama ni kitendo cha kuwakeji wana sumbawanga ambao awakumchagua huyu bwana mdogo kuwa mbunge wao ila kwa hila za mahakama za ccm ndio wameamua kumrudisha bungeni na wenzake wakimshangilia kuwa wao ni mashujaa kwa kupora maamzi ya wananchi
Lakini nacho kiamini mwisho wao ni 2015
Na aangalie huyo mbunge wenu mbakaji wa Demokrasia mwisho wake mwakani, 2015 kila atakaye taka kugombea ubunge lazima awe kidato cha nne angalau sasa aeshi hata darasa la saba alifeli
 
Back
Top Bottom