Nashauri hizi jezi za Taifa Stars zipigwe marufuku kabla ya kesho kuepuka sumu ya udini hapa nchini

Status
Not open for further replies.

Two dimension array

JF-Expert Member
Jul 25, 2018
1,593
2,380
Serikali haina dini ila watu wake wana dini! Tanzania haina dini ila watu wake wana dini! Watu walishatahadharisha mapema tu hapa! Haya mambo ya misalaba kwenye jezi ya taifa sinunui hata Kama Mimi ni mkristo! This is not fair and this is our country
FB_IMG_1553318515124.jpeg
FB_IMG_1553318502956.jpeg

======

UPDATE:

=======

KANUSHO

Shirikisho la mpira wa Miguu Tanzania, limekana kuhusika na jezi zenye msalaba zinazosambaa mitandaoni. Wametoa onyo kwa watu wote wanaonihusisha na utengenezaji wa jezi.
Screenshot_20190324-102038~2.png

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa mmoja tulifika mahali tukapumzika, nikashangaa ameamka chaap na kuniambia twende zetu, nikamuuliza nini shida tena??

Akasema chek apo juu, kuangalia kuna alama ya msalaba. Dah nilicheka sana nikamsapoti tukaondoka lakini moyoni najiuliza kwel wanadam tumekuwa waoga sana na kifo sasa msalaba nao kumbe tunapaswa kuukimbia?

Sasa wale wanaotembea nao kwa shingo si wangekuwa wameshakufa muda mrefu??

Tusiwe na imani za kubahatisha tujaribu kufikiri mambo criticaly.

Mm napishana nayo sana lakini haiwezi kuniondoa kwenye ibada na Mungu au kunitisha chochote.

Mantiki siyo kutisha ila msalaba ni alama ya dini za kikristo wakati huo serikali haina dini ,ni sawa na jezi kuchorwa nusu mwezi na nyota .

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom