Safari_ni_Safari
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 23,268
- 17,097
kiganja
Woote mmekosa zawadi....ni picha ya kuchora...asanteni sana kwa kujaribu
Woote mmekosa zawadi....ni picha ya kuchora...asanteni sana kwa kujaribu
Hiyo kwanza kabisa ni picha,ya abstract yenye vitu vinne.Hapo kuna bahari,pweza,kiganja na tembo.Hivi ulisema unatoa zawadi?
charles deserves his thanks, he got it right mkuu, usiwe mbahili aiseeWewe umesema picha wakati ni picha ya kuchora
charles deserves his thanks, he got it right mkuu, usiwe mbahili aisee