Hiki ni nini kwenye hii picha ya gari?, nimejaribu kuulizia kwa wadau wengine wananiambia ni waandishi wa habari

Ni mtambo una-sencer ya kuona mbali. Kwa ndani ya gari kuna kazi inaendelea wataalam wa IT wako kazini. Hizo ni gari maalum za bank hasa BOT au msafara wa viongozi.
 
KWA kifupi kabisa na kwa Lugha rahisi, hivyo kifaa kinaitwa RADAR.
Hii ni miongoni mwa radar ya aina yake, Mara nyingi hutumika na maagent wa Serikali ktk shughuli za ulinzi NA Usalama, e.g, law enforcement agents, polices, secret security agents, digital communications regulatory authorities, military personnels, etc.

Radar kama hizi Mara nyingi zaidi hutumika ktk shughuli za UDUKUZI au UJASUSI, hususani kuhusiana na mawasiliano ya KIMTANDAO, huwa vinakuwa ktk form ya "StingRay devices". Mara nyingi ktk nchi mbalimbali duniani haviruhusiwi kumilikiwa NA watu binafsi, isipokuwa state agents only.

Kazi zake ni (baadhi tu, kutegemeana NA radar yenyewe):-
1.Phone Tracking
2.Phone Tracing
3.Radio locating
4.Surveillance activities, e.g. audio and video surveillance covert operations, bugging, etc.
5. AOB
NB: Nowadays there are some more devices that are much smaller, portable and mobile which perform the similar functions, most of them are disgused in the form of mobile phones/handsets, they are many in our streets now.Take care!!
Thread Closed!
 
Hiki ni nini kwenye hii picha ya gari, nimejaribu kuulizia kwa wadau wengine wananiambia ni waandishi wa habari ndipo akili ikagoma kukubali kuwa ni kwel, kwa sababu hakuna nembo inayoonesha hivyo, licha ya sababu hiyo lkn akili inagoma tu.

Ndipo nikaamua kuleta humu jukwaan kwa wafikiriaji wakubwa, ili nipate kujua hii ninni au gari la nini, Mara nyingi yanapiga Masafa marefu.

Nina imani tajibiwa safi, karibuni wakuuView attachment 1204370View attachment 1204371
Mtambo wa mawasiliano huo
 
Kusema ukweli kutoka kwenye uvungu wa moyo wangu, huwa nakuamini sana hapa JF ila wee hujui. Una uelewa mpana, una mambo mengi karibia kila nyanja. Nakuona hadi kwenye mambo ya Law umoooo, karibia majukwaa yote umo, isipokuwa jukwaa la mapishi na MMu ndio sijaona ufundi wako
Na jukwaa la kubet kule wazee wa mizigo kule tupo zaidi ya wajanja
 
Kusema ukweli kutoka kwenye uvungu wa moyo wangu, huwa nakuamini sana hapa JF ila wee hujui. Una uelewa mpana, una mambo mengi karibia kila nyanja. Nakuona hadi kwenye mambo ya Law umoooo, karibia majukwaa yote umo, isipokuwa jukwaa la mapishi na MMu ndio sijaona ufundi wako
law kasoma miaka 18 pale mlimani

Ni Team Lowassa huyo, kilaza
 
Kha! jamani. kisa nimemsifia Pascal? Sema tu hata wewe kimoyo moyo unamkubali huyu mkuu, yuko vizuri kichwani. Pia hata ukifuatilia thread zake, nyingi ziko njema halafu anayoongelea hasa ya kisiasa anakuwa kama vile ame predict
Hana lolote huyo pasko
 
Hiki ni nini kwenye hii picha ya gari, nimejaribu kuulizia kwa wadau wengine wananiambia ni waandishi wa habari ndipo akili ikagoma kukubali kuwa ni kwel, kwa sababu hakuna nembo inayoonesha hivyo, licha ya sababu hiyo lkn akili inagoma tu.

Ndipo nikaamua kuleta humu jukwaan kwa wafikiriaji wakubwa, ili nipate kujua hii ninni au gari la nini, Mara nyingi yanapiga Masafa marefu.

Nina imani tajibiwa safi, karibuni wakuuView attachment 1204370View attachment 1204371

Umefanya vizuri kuuliza. Hilo dungu hapo juu ni Antenna kwa ajili ya kufuatilia masafa( Spectrum monitoring)...kazi yake ni kukagua muingiliano wa masafa ya simu,mawimbi ya utangazaji,radio call nakadhalika….hilo pia hukagua mawimbi haramu ambayo watu wanajipatia...elewa kwamba masafa ili uyatumie lazima TCRA wakupatie kwa hiyo hilo dungu linakagua kubaini wezi wa masafa na hata wezi wa simu wanaweza kupatikana kwa hilohilo dude...Linaitwa mobile Spectrum monitoring antenna. Je una swali la ziada?
 
Back
Top Bottom