Hiki ni nini kwenye hii picha ya gari?, nimejaribu kuulizia kwa wadau wengine wananiambia ni waandishi wa habari

Hiki ni nini kwenye hii picha ya gari, nimejaribu kuulizia kwa wadau wengine wananiambia ni waandishi wa habari ndipo akili ikagoma kukubali kuwa ni kwel, kwa sababu hakuna nembo inayoonesha hivyo, licha ya sababu hiyo lkn akili inagoma tu.

Ndipo nikaamua kuleta humu jukwaan kwa wafikiriaji wakubwa, ili nipate kujua hii ninni au gari la nini, Mara nyingi yanapiga Masafa marefu.

Nina imani tajibiwa safi, karibuni wakuuView attachment 1204370View attachment 1204371
Pascal Mayalla
Mbona unamuhusisha Pasikali, unauhakika ni mzigo wake!
Pascal Mayalla mie huwa namuona ndie member wa JF pekee mwenye akili nyingi na ana uwezo wa kutambua pia anajua mambo mengi sana ya duniani. Sijaona mwingine hata!!!
🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
We unazingumzia JF ya zamani kabla Pasco hajaitwa NJAA

Mbona unamuhusisha Pasikali, unauhakika ni mzigo wake!
Kule Simiyu kwenye Nane Nane Pascal Mayalla alielezewa vyema na wahusika wa hilo gari labda atakujibu.
Kwanza asante Mkuu Nakwede kunistua.
Hiyo ni gari ya TCRA na hapo juu ni mtambo wa ukaguzi wa masafa,
Unaweza kuushuhudia hapa

P.
 
Kwanza asante Mkuu Nakwede kunistua.
Hiyo ni gari ya TCRA na hapo juu ni mtambo wa ukaguzi wa masafa,
Unaweza kuushuhudia hapa

P.

Kusema ukweli kutoka kwenye uvungu wa moyo wangu, huwa nakuamini sana hapa JF ila wee hujui. Una uelewa mpana, una mambo mengi karibia kila nyanja. Nakuona hadi kwenye mambo ya Law umoooo, karibia majukwaa yote umo, isipokuwa jukwaa la mapishi na MMu ndio sijaona ufundi wako
 
Hao ni wachawi wa kizungu maadui wa mshana wao wanadaka mawimbi kwa kutumia hiyo mitambo hapo juu ya gari mshana anadaka mawimbi kwa kutumia vipembe ....

Kama ni waandishi wa habari basi habari zinazohusu hari ya hewa
 
Hiki ni nini kwenye hii picha ya gari, nimejaribu kuulizia kwa wadau wengine wananiambia ni waandishi wa habari ndipo akili ikagoma kukubali kuwa ni kwel, kwa sababu hakuna nembo inayoonesha hivyo, licha ya sababu hiyo lkn akili inagoma tu.

Ndipo nikaamua kuleta humu jukwaan kwa wafikiriaji wakubwa, ili nipate kujua hii ninni au gari la nini, Mara nyingi yanapiga Masafa marefu.

Nina imani tajibiwa safi, karibuni wakuuView attachment 1204370View attachment 1204371

KWA kifupi kabisa na kwa Lugha rahisi, hicho kifaa kinaitwa RADAR.
Hii ni miongoni mwa radar ya aina yake, Mara nyingi hutumika na maagent wa Serikali ktk shughuli za ulinzi NA Usalama, e.g, law enforcement agents, polices, secret security agents, digital communications regulatory authorities, military personnels, etc.

Radar kama hizi Mara nyingi zaidi hutumika ktk shughuli za UDUKUZI au UJASUSI, hususani kuhusiana na mawasiliano ya KIMTANDAO, huwa vinakuwa ktk form ya "StingRay devices". Mara nyingi ktk nchi mbalimbali duniani haviruhusiwi kumilikiwa NA watu binafsi, isipokuwa state agents only.

Kazi zake ni (baadhi tu, kutegemeana NA radar yenyewe):-
1.Phone Tracking
2.Phone Tracing
3.Radio locating, waves transmission, multiplexer functions, etc.
4.Surveillance activities, e.g. audio and video surveillance covert operations, bugging, etc.
5. AOB
NB: Nowadays there are some more devices that are much smaller, portable and mobile which perform the similar functions, most of them are disgused in the form of mobile phones/handsets, they are many in our streets now.Take care!!
 
Kusema ukweli kutoka kwenye uvungu wa moyo wangu, huwa nakuamini sana hapa JF ila wee hujui. Una uelewa mpana, una mambo mengi karibia kila nyanja. Nakuona hadi kwenye mambo ya Law umoooo, karibia majukwaa yote umo, isipokuwa jukwaa la mapishi na MMu ndio sijaona ufundi wako
Anhaaa!! Pascal mayalla Kumbe una ka I'd kengine ka kujipigia pande eeeeeh
 
9 Reactions
Reply
Back
Top Bottom