Hiki ni kipindi cha heshima kwa CCM, Lowassa lazima arudi baraza la mawaziri ...

Mambo mengine hayana maelezo. Ni ungane na aliyeleta uzi wa Roho Mtakatifu kuwafungua watu macho waone. EL alirazikamika kujiuzuru kwa sababu zipi? Mara hii hata hamukumbuki tena? Inakuwaje tanesco wapandishe gharama za umeme kama si kumlipa richmond ya EL?
 
Na wewe umshaanza kujiuza kwa fisadi papa? Ama kweli duniani kuna mambo !!

Ndugu zanguni,

Sote tunajua kuwa Mh Rais atatangaza baraza jipya la mawaziri anytime kuanzia sasa. Pamoja na majina mengi kutajwa kuwa wangefaa kuingia kwenye baraza jipya ni Deo Filikunjombe, Migiro, Kangi lugora na EL

Lakini katika majina yote, jina la Lowassa ndio limetajwa sana kuliko yote.

Sababu kubwa ya wengi kumtaja Lowassa ni wengi kuwa na imani na utendaji wake utendaji wake na command aliyobarikiwa kuwa nayo na ninaamini huyu hata ukimpa Tamisemi lazima utaona mabadiliko makubwa.

Tunahitaji majembe yaongezeke baraza la mawaziri kuwasaidia akina Mwakyembe na Magufuri kuweka nidhamu serikalini

Umoja ni ushindi
 
Kuacha ushabiki chris leo umeongea point yakufungia mwaka 2013, kwa hali ilivyo huko lumumba EL ndio silaha iliyobakia ya msaada vinginevyo mnaelekea icu
 
Ukipenda sana Lowassa, mtembelee kwake na umpe anachokitaka lakini si kuhadaa watu.
 
Asilimia kubwa ya watz wana mioyo ya kike...hata watendwe vp na mwanaume when he come back akikuchekea kidogo na vizawadi vya hapa na pale kesi imeisha...ivi kweli tunasahau huyu EL alichotufanya na RICHMOND?? Au unaamini RICHMOND ilikia zengwe?
 
Hakuna mtu yeyote anayemtaja Lowassa zaidi yenu ninyi mnaolipwa kwa ajili ya kufungua thread kwa ajili ya kumsafisha asiyesafishika!
 
142 million per day to Richmond. Umeme bei inaongezeka Januari. Naumia sana kwa ujanja ujanja wa Lowassa. Rest in peace Lowassa.
 
Chris Lukosi acha kutupoteza Maboya, hebu rudisha rambi rambi za Marehemu Mwangosi ulizokula.
JITAMBUE Mkuu kwa kuitubu Dhambi ya kula Rambi Rambi
 
Last edited by a moderator:
Chris Lukosi acha kutupoteza Maboya, hebu rudisha rambi rambi za Marehemu Mwangosi ulizokula.
JITAMBUE Mkuu kwa kuitubu Dhambi ya kula Rambi Rambi
 
Last edited by a moderator:
migiro si mgonjwa?au macho yangu?pia alishindwa kazi umoja wa mataifa?hebu semeni ukweli,naona amedhoofika sana au uzee?
 
Back
Top Bottom