Hiki ni kipindi cha heshima kwa CCM, Lowassa lazima arudi baraza la mawaziri ...

Chris Lukosi

Verified Member
Aug 23, 2012
4,584
2,000
Ndugu zanguni,

Sote tunajua kuwa Mh Rais atatangaza baraza jipya la mawaziri anytime kuanzia sasa. Pamoja na majina mengi kutajwa kuwa wangefaa kuingia kwenye baraza jipya ni Deo Filikunjombe, Migiro, Kangi lugora na EL

Lakini katika majina yote, jina la Lowassa ndio limetajwa sana kuliko yote.

Sababu kubwa ya wengi kumtaja Lowassa ni wengi kuwa na imani na utendaji wake utendaji wake na command aliyobarikiwa kuwa nayo na ninaamini huyu hata ukimpa Tamisemi lazima utaona mabadiliko makubwa.

Tunahitaji majembe yaongezeke baraza la mawaziri kuwasaidia akina Mwakyembe na Magufuri kuweka nidhamu serikalini

Umoja ni ushindi
 

bendaki

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
954
250
Mabadiliko yatakuwa makubwa, ulaji mkubwa, ufisadi kwa fujo, rushwa kweupe kweupe. Hakutakuwa na nafasi tena kwa makabwera. !? Kumuombea awepo tena ktk mfumo ni uchuro. Mungu ulisha tuweka mbali na hawa waliomo ktk begi la Rostam sasa acha waendelee kubakia na VODA yao, Symbion, magodown yaliyokuwa viwanda vyetu, nk.
 

Magurudumu

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
1,750
1,500
Tungekuamini kama ungetupatia takwimu kuwa EL katajwa mara ngapi na wapi (references) ukilinganisha na wengine. Vinginevyo mimi nakuona mzushi unayetafuta kujipendekeza tu kwa hao jamaa.
 

bendaki

JF-Expert Member
Feb 5, 2013
954
250
Kwa EL, Mabadiliko yatakuwa makubwa, ulaji mkubwa, ufisadi kwa fujo, rushwa kweupe kweupe. Hakutakuwa na nafasi tena kwa makabwera. !? Kumuombea awepo tena ktk mfumo ni uchuro. Mungu ulisha tuweka mbali na hawa waliomo ktk begi la Rostam sasa acha waendelee kubakia na VODA yao, Symbion, magodown yaliyokuwa viwanda vyetu, nk.
 

lyinga

JF-Expert Member
Nov 18, 2013
2,498
0
Kwa hiyo unataka kusema ile ishu ya richmond alikuwa kondoo wa kafara ni nani basi alihusika na hii skendo zile fadhila mnazolipana matojeo yake ndio haya mnashikana uchawi kila uchwao na unataka kutuaminisha kuwa mwakyembe na ile tume iliyoundwa waliudanganya umma wa watanzania? Basi na yeye anapaswa kujiuzulu kwa kuudanga uma wa watanzania.
 

sem2708

JF-Expert Member
Nov 4, 2010
4,303
2,000
Ndugu zanguni,

Sote tunajua kuwa Mh Rais atatangaza baraza jipya la mawaziri anytime kuanzia sasa. Pamoja na majina mengi kutajwa kuwa wangefaa kuingia kwenye baraza jipya ni Deo Filikunjombe, Migiro, Kangi lugora na EL

Lakini katika majina yote, jina la Lowassa ndio limetajwa sana kuliko yote.

Sababu kubwa ya wengi kumtaja Lowassa ni wengi kuwa na imani na utendaji wake utendaji wake na command aliyobarikiwa kuwa nayo na ninaamini huyu hata ukimpa Tamisemi lazima utaona mabadiliko makubwa.

Tunahitaji majembe yaongezeke baraza la mawaziri kuwasaidia akina Mwakyembe na Magufuri kuweka nidhamu serikalini

Umoja ni ushindi
Kweli ccm imeishiwa.
 

ferre.g

JF-Expert Member
Mar 3, 2013
2,217
1,195
Mjinga wewe hujitambui...

Peleka upuuzi wenu hukooooooooo

Lumumba kwa misukule
 

pazzy

Senior Member
Feb 5, 2012
194
195
Jipe moyo tu kwasababu Uko mbali na uhalisia...Ndani ya ccm hakuna mpya anaeweza kuleta nafuu ya maisha kwa WATANZANIA!Kila mwananchi sasa anajua kuwa nilazima kufanya mabadiliko nakuweka Uongozi mpya Ili kupuka kuongozwa na watu wanaolalamikia mfumo kila siku wakati wao ndio wameweka mifumo hiyo...hakika 2015 ndio mwisho wakuongozwa na serikali MZIGO inayoamini katika kulindana..!
 

lyinga

JF-Expert Member
Nov 18, 2013
2,498
0
lowasa atakuwa msaada mkubwa kuokoa jahazi linalozama sasa

Duuu halafu utakuta ni baba au mama mwenye familia anaiongoza hapa lazima upate wavuta bangi na wabeba pipi hovyo kabisa.
 

m4cjb

JF-Expert Member
Jul 23, 2012
7,374
2,000
Huyu mwizi ana jipya gani? katuachia maumivu makali ya mamilioni huku TANESCO yetu ikiwa taabani! mleta mada ni mpumbafu na mchumia tumbo mwenye kutamani makombo ya hawa majizi! potelea mbali hata nikipata ban lakni hawa misukule lazima tuwaeleze ukweli,taifa letu sio shamba la bibi,njaa zao hapo lumumba zikomee huko huko! nyambafu sana!!!...
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom