Hiki ni kama kichekesho lakini pia yasikitisha,ubishi wachangia pia ajali ya canter - mbeya. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hiki ni kama kichekesho lakini pia yasikitisha,ubishi wachangia pia ajali ya canter - mbeya.

Discussion in 'Jamii Photos' started by MziziMkavu, Jul 7, 2012.

 1. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #1
  Jul 7, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,615
  Trophy Points: 280
  [​IMG]
  Gari aina ya Canter Toyota ikiwa imetumbukia katika mto Jianga maeneo ya Ilolo Jijini Mbeya, baada ya kuvunjika kwa daraja na katika ajali hiyo hakuna mtu aliyejeruhiwa. Lakini wakazi wa eneo hilo walieleza kwamba daraja hilo ni bovu toka muda mrefu na viongozi wao hawajafanya jitihada zozote juu ya ubovu huo.
  [​IMG]
  Mmmh jamani hatari
  [​IMG]
  Wakazi wa eneo la jirani na tukio la ajali waliofika kudhuhudia tukio hilo.


  Hata hivyo kufuatia tukio hili,Kata za Ilemi,Sinde na Isanga zinapaswa kukutana katika meza moja ya mazungumzo kwa ajili ya kujenga daraja hilo ambalo ni kiunganishi cha kila pande na mara nyingi limekuwa likitumiwa na wagonjwa kwenda Kituo cha Afya cha Mwanjelwa na katika shughuli mbalimbali za kitaifa za kimaendeleo.
  ( picha na Godfrey Kahango).

  Mbeya Yetu
   
 2. Asterisk

  Asterisk JF-Expert Member

  #2
  Jul 7, 2012
  Joined: Jun 1, 2012
  Messages: 215
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Duh, jamaa angepita angetamba sana mji huu..
   
 3. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #3
  Jul 7, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Dereva zuzu,,,wangemtandika makofi,na kata ziangalie namna ambayo dereva atapaswa kuchangia gharama za UJENZI
   
 4. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #4
  Jul 7, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Hapo mwandishi wa hii mada kachapia. Hakuna gari ya aina hiyo, nijuavyo Canter huwa ni za kampuni ya Mitsubishi na si Toyota.

  Tuwe makini jamani tusiujaze ujinga umma.
   
 5. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #5
  Jul 7, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  na picha nayo kakosea??????,always upo perfect???
   
 6. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #6
  Jul 7, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Sipo always perfect na ninapokosea hupenda kurekebishwa. Na hiyo ni picha ya "Toyota Canter" ndivyo unavyotaka kuamini?
   
 7. MziziMkavu

  MziziMkavu JF-Expert Member

  #7
  Jul 7, 2012
  Joined: Feb 3, 2009
  Messages: 39,620
  Likes Received: 4,615
  Trophy Points: 280
  Mkuu zomba wewe kazi yako ni kukosoa na ubishi tu unaonaje tukupe ubunge uende bungeni kubishana nao Wabuınge? Mimi ninaiona kazi hiyo itakufaa ya ubishi an ukosoaji. weka na wewe Thread yako watu wakukosowe...........
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 8. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #8
  Jul 7, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Nyuzi zangu zipo nyingi tu nna uhakika unajuwa kutumia JF vizuri na unaweza kuzipitia na kuzihariri na pia unaweza kuzikosowa.

  Kilichowauma ni nini? Kukosolewa hampendi hata kama ni makosa? Nna uhakika siku nyingine mtakuwa makini zaidi na ntawakosoa kila nnapojuwa kuna kosa, hiyo ni elimu ya bure na inafaa mfurahi.
   
 9. paty

  paty JF-Expert Member

  #9
  Jul 7, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,257
  Likes Received: 167
  Trophy Points: 160
  huyu dereva kweli kichaa, yaani kwei watu hawajali magari ya wenzao , kwa akili za simbili tu hapo anajua hata mkokoten haupiti kwenye icho kidaraja
   
 10. Gwangambo

  Gwangambo JF-Expert Member

  #10
  Jul 7, 2012
  Joined: Jun 30, 2012
  Messages: 3,655
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Rangi za gari kama vile za M4C!
   
 11. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #11
  Jul 7, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,081
  Likes Received: 49
  Trophy Points: 0
  Kwi kwi kwi kwi teh teh teh Na dereva wake kavaa gwanda la kaki.
   
 12. Wilbert1974

  Wilbert1974 JF-Expert Member

  #12
  Jul 7, 2012
  Joined: Feb 10, 2011
  Messages: 1,607
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Hayo ndo madaraja yanajengwa na Chama chetu...
  Ukisikia tumejenga madaraja kadhaa ujue haya ndo mfano wake!
  Hivi hilo limepewa jina la Kiongozi gani vile?!:A S 465:
   
 13. paty

  paty JF-Expert Member

  #13
  Jul 7, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,257
  Likes Received: 167
  Trophy Points: 160
  mabadiliko ypo mlangoni , yaani tanzania ya leo tunaishia maisha ya miaka 20 back , we have to restructure the system
   
Loading...