Hiki ni choo cha kukaa ktk moja ya vyuo hapa Dar | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hiki ni choo cha kukaa ktk moja ya vyuo hapa Dar

Discussion in 'Jamii Photos' started by Shine, Dec 23, 2011.

 1. Shine

  Shine JF-Expert Member

  #1
  Dec 23, 2011
  Joined: Feb 5, 2011
  Messages: 11,514
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 0
  Choo kama hiki afya bora itakuwepo?

  184121_159591900782343_100001946037887_342728_5914489_a.jpg
   
 2. Vmark.

  Vmark. JF-Expert Member

  #2
  Dec 24, 2011
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 1,361
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  Hapo unatandika tissue paper kwa juu af unacmamia kingo za hicho choo af unalenga kitu inside!! Upo?
   
 3. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #3
  Dec 24, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  tumejaribu, tumeweza na titafanya zaidi
   
 4. MUREFU

  MUREFU JF-Expert Member

  #4
  Dec 24, 2011
  Joined: Oct 1, 2010
  Messages: 1,230
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 145
  yan we acha tuu nitarud bidae ngoja kwanza wenzangu waseme
   
 5. S

  Se ntaki Member

  #5
  Dec 24, 2011
  Joined: Dec 22, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hi ndo nchi.bongo mbona kawaida. Hall fulani hapa chuo (dar) ni zaidi.
   
 6. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #6
  Dec 24, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  lazima kitakua kile chuo ambacho daladala zake wanapandia pale ubungo darajani!! ......
   
 7. Kombo

  Kombo JF-Expert Member

  #7
  Dec 24, 2011
  Joined: Oct 29, 2010
  Messages: 1,819
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Mkuu kitajeeeeee....!!!!! Tena taja na mahali kilipo.
   
 8. Fidel80

  Fidel80 JF-Expert Member

  #8
  Dec 24, 2011
  Joined: May 3, 2008
  Messages: 21,976
  Likes Received: 104
  Trophy Points: 145
  Hiki choo kitakuwa cha wakufunzi. Ukikaa hapo masaburi lazima yapate mushkeli.
   
 9. Junior. Cux

  Junior. Cux JF-Expert Member

  #9
  Dec 24, 2011
  Joined: Feb 3, 2011
  Messages: 5,305
  Likes Received: 1,226
  Trophy Points: 280
  hall 2 floo no.3 udsm.. Ukwel na uhakika
   
 10. S

  Se ntaki Member

  #10
  Dec 24, 2011
  Joined: Dec 22, 2011
  Messages: 40
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  huo ndo ukweli ja.
   
 11. UmkhontoweSizwe

  UmkhontoweSizwe JF-Expert Member

  #11
  Dec 24, 2011
  Joined: Dec 19, 2008
  Messages: 2,971
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Wanaotumia hicho choo usishangae ndo wasomi wetu hao!
  Hao wasomi wanaotumia hicho choo wana tofauti gani na Kikwete mwenye masters ya uchumi lakini uchumi wenyewe umemshinda?
   
 12. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #12
  Dec 24, 2011
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,153
  Likes Received: 2,402
  Trophy Points: 280
  Udsm hall ii toilet???
   
 13. Vmark.

  Vmark. JF-Expert Member

  #13
  Dec 24, 2011
  Joined: Aug 2, 2011
  Messages: 1,361
  Likes Received: 13
  Trophy Points: 0
  yap....thats the reality bra....graduates ambao tulimaliza pale we must act for sure!
   
 14. m

  mhondo JF-Expert Member

  #14
  Dec 24, 2011
  Joined: Apr 23, 2011
  Messages: 970
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 45
  Prof. Rwekaza Mukandala amekiona?
   
 15. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #15
  Dec 24, 2011
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Atakiona saa ngapi wakati kuna watu responsible na wana kula kila siku hela,ambao nao kazi yao ni kupita pita bila kuwezeshwa. Tusubiri misaada ili tuendelee.
   
 16. ndetichia

  ndetichia JF-Expert Member

  #16
  Dec 24, 2011
  Joined: Mar 18, 2011
  Messages: 27,641
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  hapo lazima ukimbie choo chenu..
   
 17. C

  Chupaku JF-Expert Member

  #17
  Dec 24, 2011
  Joined: Oct 15, 2008
  Messages: 1,043
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Watanzania tatizo letu kubwa ni maintenance. Lakini pia wakati mwingine matumizi ya vyoo ni mabaya. Mtu anaacha kabisa choo kisafi anashusha mzigo pembeni, mtu anashusha mzigo halafu anaacha ku flash. Nilienda hotel fulani hv 4 star nikakuta watu wamepandisha miguu kwenye masinki juu wananawa. Makohozi wanatema kwenye sink wanaacha. Mtu anakojoa kwenye toilet seat anaacha hivo. Its disgusting!

  Sijui ni tumezoea vya tundu za shimo au inakuwaje. Na akitoka hapo mtu ni sista du au kijana kachomekea au bosi wa ofisini. Anaenda zake huyooo anabofya bofya kisimu chake amemaliza kazi kumbe ameacha kazi chooni.

  Heri mtu utembee na mobile toilet yako kulikoni vyoo vya public bongo!
   
 18. P

  Pure nomaa JF-Expert Member

  #18
  Dec 24, 2011
  Joined: Dec 10, 2011
  Messages: 1,050
  Likes Received: 1,076
  Trophy Points: 280
  Senetor upo?hebu funguka mzaz kama yanayosemwa ni kweli?
   
 19. Cathode Rays

  Cathode Rays JF-Expert Member

  #19
  Dec 24, 2011
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 1,736
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 160
  Kaka nakushauri usijaribu huu mchezo....siku ukikute kiko kwenye sekunde zake za mwisho halafu kipasuke...

  nadhani utakuwa umepata piacha kitapasukia wapi

  Ni hatari tupu
   
 20. Cathode Rays

  Cathode Rays JF-Expert Member

  #20
  Dec 24, 2011
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 1,736
  Likes Received: 182
  Trophy Points: 160
  Ama hivi kumbe prezaa ana Masters ya Uchumi?

  Basi nimepitwa mbali na profile ya president wangu...can somebody remind me ameipatia chuo gani na mwaka gani?

  PhD nafahamu ila hii Masters ya Uchumi imenipita kidogo habari zake
   
Loading...