Hiki ndo kisiwa cha migingo

Ben Zen Tarot

JF-Expert Member
Dec 13, 2014
3,905
6,691
Hiki ndo kisiwa kilichojengeka au kuwa na makazi ya watu wengi zaidi (densely populated island) kuliko visiwa vyote duniani,
Kwa maelezo mengine ni kuwa asilimia kubwa ya ardhi ya kisiwa imejengwa kuliko visiwa vyote duniani
Wakazi wake wanajishughulisha na uvuvi wa samaki.

Kinapatikana ndani ya ziwa Victoria ambapo kiliwahi kugombaniwa na nchi mbili Kenya na Uganda
Kwa sasa kinamilikiwa na izo nchi mbili

FB_IMG_1633163103008.jpg
 
View attachment 1960040
Population hiyo ni ya watu wangapi?
 
Mwaka 2017 Rais M7 aliwahi kupeleka kikosu maalum cha Jeshi la Uganda (SFC) chenye jukumu la kumlinda Rais Yoweri Museveni wa Uganda. Kikosi kile kilipelekwa kwenye kisiwa chenye utata cha Migingo ili kudhibiti uvuvi haramu, mpakani mwa Uganda na Kenya...
 
Mbona unatafsiri makala za YouTube na kurusha huku?

Si ungeweka na link kabisa
Hiki ndo kisiwa kilichojengeka au kuwa na makazi ya watu wengi zaidi (densely populated island) kuliko visiwa vyote duniani,
Kwa maelezo mengine ni kuwa asilimia kubwa ya ardhi ya kisiwa imejengwa kuliko visiwa vyote duniani
Wakazi wake wanajishughulisha na uvuvi wa samaki.

Kinapatikana ndani ya ziwa Victoria ambapo kiliwahi kugombaniwa na nchi mbili Kenya na Uganda
Kwa sasa kinamilikiwa na izo nchi mbili

View attachment 1960040
 
Nakumbuka mwaka 2009 July, Rais wa Uganda aliwahi kutamka kwamba....
Kisiwa cha Migingo kilikuwa kweli kiko Kenya, lakini maji yaliyozunguka kisiwa yalikuwa ya Uganda...
Na kuanzia sikuhiyo nilijiridhisha rasmi kwamba M7 anatumia
Anaweza kuwa hajakosea. Kisiwa kuwa nchi moja na maji yanayozunguka kuwa ya nchi nyingine. Kwa ushahidi ni kwamba ukiqngalia Ziwa Nyasa. Upande wa Mozambique kuna visiwa viwlili ambavyo ni mali ya Malawi. Kwamba ndani ya .aji ya Ziwa Nyasa uoande wa Mozambique kuna visiwa vya Malawi ambavyo vimezungukwa na maji ya Mozambique kwa 100%
 
Nakumbuka mwaka 2009 July, Rais wa Uganda aliwahi kutamka kwamba....
Kisiwa cha Migingo kilikuwa kweli kiko Kenya, lakini maji yaliyozunguka kisiwa yalikuwa ya Uganda...😜🤓
Na kuanzia sikuhiyo nilijiridhisha rasmi kwamba M7 anatumia 🌿
Mkuuu nimecheka kwa sauti,hahaaaa
 
Nakumbuka mwaka 2009 July, Rais wa Uganda aliwahi kutamka kwamba....
Kisiwa cha Migingo kilikuwa kweli kiko Kenya, lakini maji yaliyozunguka kisiwa yalikuwa ya Uganda...😜🤓
Na kuanzia sikuhiyo nilijiridhisha rasmi kwamba M7 anatumia 🌿
Hahahahaha......alisema maji ni ya Uganda lakini mawe/rocks Ni ya Kenya. Kesi ikaishia pale.
 
Hiki ndo kisiwa kilichojengeka au kuwa na makazi ya watu wengi zaidi (densely populated island) kuliko visiwa vyote duniani,
Kwa maelezo mengine ni kuwa asilimia kubwa ya ardhi ya kisiwa imejengwa kuliko visiwa vyote duniani
Wakazi wake wanajishughulisha na uvuvi wa samaki.

Kinapatikana ndani ya ziwa Victoria ambapo kiliwahi kugombaniwa na nchi mbili Kenya na Uganda
Kwa sasa kinamilikiwa na izo nchi mbili

View attachment 1960040
Taratibu za Uhamiaji zipoje kisiwani hapo?
Panafaa kufanya utalii, kujionea maraya wanavyopiga show.
 
Hiki ndo kisiwa kilichojengeka au kuwa na makazi ya watu wengi zaidi (densely populated island) kuliko visiwa vyote duniani,
Kwa maelezo mengine ni kuwa asilimia kubwa ya ardhi ya kisiwa imejengwa kuliko visiwa vyote duniani
Wakazi wake wanajishughulisha na uvuvi wa samaki.

Kinapatikana ndani ya ziwa Victoria ambapo kiliwahi kugombaniwa na nchi mbili Kenya na Uganda
Kwa sasa kinamilikiwa na izo nchi mbili

View attachment 1960040
Tz tupo tupo tu
 
Nishafika sana nukiwa afis uvuvi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom