Ukiona hivyo ujue bado mdogoMada yako aijitoshelezi.
Muweke na wa wanawake inakuwajeMiaka 45 sio mtoto wa Kiume ni Mwanaume. Hata hivyo, sio kwa wote, wengine wanakuwa bado wako fiti kila idara
Mada yako aijitoshelezi.
There's no time he'll stop calling you "son"!! Coz you're his son and not otherwise!! Lkn kusema "mtoto wa kiume" ni tofauti sana na "mwanaume". Inabidi ujifunze tofauti ya "sex" na "gender" ndo utajua matumizi sahihi ya mtoto wa kiume na mwanaumeNi lugha tu mkuu, BTW baba yangu akiwa na marafiki zake ninapotokea tu bado anasema " hey! that is my son, yani mimi ni mtoto wake wa kiume" Asa sijui lini huwa ni kikomo kuitwa "son"!!!
Ukizingatia ujana unaisha 45...unaingia utu uzima....ni kujitunza tumxyo16, hii inawatokea wanywa pombe, wala vitu vitamu bila kufanya mazoezi. Mtoto wa kiume anaejiangalia 45yrs ndiyo kwanza saa nne asubuhi. Haya kwa mwanaume anaekwenda Gym yaanza kwenye 70+. Ni mada nzuri sana aiess umetuletea.
Unasemaje kuhusu Le Bahariaz, ni mtoto wa kiume au ni mwanaume?Miaka 45 sio mtoto wa Kiume ni Mwanaume. Hata hivyo, sio kwa wote, wengine wanakuwa bado wako fiti kila idara
Yupo humu unaweza kumuuliza ukapata uhakika zaidiUnasemaje kuhusu Le Bahariaz, ni mtoto wa kiume au ni mwanaume?