MAHANJU
JF-Expert Member
- Aug 26, 2014
- 5,244
- 7,970
1.Katiba mpya, hasa yenye maoni ya Wananchi! Yeye si ameshasema kua ni mtetezi wa wanyonge?basai zigo hilo hapo la wanyonge hao ambalo ni katiba hasa ya warioba.
2.Mgogoro wa Zanzibar, hapa mpaka sasa aneshawaangusha Wananchi maana alisema kua atalishughulikia mapema matokeo yake akasema hatalishughulikia.
Siamini kama utumbuaji majipu ndiyo itakayotumiwa na CCM pekee 2020 kwenye uchaguzi mkuu wakati ahadi hazijatimia na taifa linaweza kua kwenye migogoro mingi kuhusu katiba na Zanzibar kukosa utulivu wa kisiasa. Inawezekana kabisa Mh Magufuli akaja kuadhibiwa kama Godluck Jonathan wa Nigeria.
Atambue kua wapinzani wanajua kabisa kinachofanya CCM kuendelea kuwepo madarakani ni ubovu wa katiba ya sasa na madhaifu yake makubwa.Kwahiyo kinachowaumiza sana wapinzani sasa ni katiba mpya na wanajipanga kisawa sawa.