Hiki ndicho kipaumbele cha wanaume wote duniani wanachopenda kutoka kwa mwanamke wanaemtaka; Matako siyo kipaumbele

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,279
21,396
Habari ya weekend!

Baada ya kuweka wazi katika Uchambuzi Wangu jana kwamba mwanamke hana kipaumbele katika kupenda;https://www.jamiiforums.com/threads...pende-hata-pesa-siyo-kipaumbele-chao.1572307/

Nilipokea text nyingi kutoka kwa wadada PM wakiomba nisiwe na upendeleo, Niweke wazi pia Vipaumbele vya Wanaume kama vipo!

Leo kwa heshima yao naomba niweke wazi kipaumbele cha Wanaume wote duniani wanachopenda kutoka kwa mwanamke;

Kiufupi Kipaumbele kikuu au Kitu kikubwa pekee mwanaume anachopenda kutoka kwa mwanamke ni UCHI (kümær);

Naomba kufafanua kama ifuatavyo!

Kama nilivyotaja kwenye jibu la msingi, Vipo vichagizo vingi vinavyoshabihisha kufanikisha, ingawa lengo kuu la mwanaume yeyote duniani anapohitaji mwanamke ni UCHI;

swali; Uchi Wa mwanamke yupi?

Majibu
; Nafafanua hapa;

Kama ilivyo kwa mgombea hakosi Wapambe, ndivyo Uchi Wa mwanamke anaependwa alivyo; nitataja sifa zinazozingatiwa chache;
  1. MVUTO: mwanaume yeyote anapenda mwanamke anaevutia, hapa kwenye mvuto ndipo wengine huangalia Makalio, matege,maziwa,macho,nywele, makengeza,shingo au miguu etc ..baadhi ya hivyo ndivyo huwa kama pambe tu wa kitu cha msingi ambacho ni UCHI
  2. ASIYE MBISHI; mwanaume anapenda mwanamke msikivu, anaepump juhudi za mumewe hata kama ni mbovu hupump na kushauri kwa akili, mfano 1; Bwana Mvuta bangi; Hapo mwanamke anatakiwa awe anasifu harufu ya bangi halafu baadae anamuelimisha Mme madhara ya bangi taratibu; mfano 2; Bwana mcheza mpira; Hapo mwanamke hapaswi kumkataza mumewe au kumponda mumewe hata kama hajui kucheza etc (connect happiness)
  3. MSIKIVU (Listener); mwanaume yeyote duniani anapenda mwanamke anaemsikiliza, sina maana usikilize kila kitu hapana, hapa namaanisha Yale mambo yanayowaunganisha tanguliza kumsikiliza kwanza bwana ako!
  4. MWENYE MALENGO; Hapa ndipo wanawake wengi wanafeli au kufaulu; Malengo anayotaka kuyasikia mumeo yanatakiwa yawe yenye bondi, yaani yasiwe ya kibinafsi, Muoneshe bwana ako unatamani familia yenu iweje, ukipata pesa utafanya nini cha kuongeza kwenye familia; Wanawake wengi hapa hufeli kwa ubinafsi, malengo yao yamejaa ubinafsi, mfano:Utasikia nikipata kazi nitanunua kabati langu,Gari langu, nyumba yangu etc Hapo usitarajie mwanaume atapenda upate kazi NEVER,
  5. MWENYE KUJUA KUISHI NA WATU WENGINE; mwanaume anaangalia mwanamke ambae anaeweza kuishi na watu wengine kwa aman hususani ndugu, jamaa na majilani!
  6. ASIYE NA KISIRANI (VIBES); Wanawake wengi hawajui kutofautisha kati ya kudeka na kisirani, Hakuna mwanaume anaevumilia kisirani, Wanaume wanapenda kuangalia mudi ya mwanamke katika hali zote, siyo jambo dogo tu mwanamke unavuta mdomooo; Tena jambo lenyewe umeota bwana ako kachepka ukiamka unamnunia; (mood or honestly feelings at any given moments)
  7. ANAETOA PENZI MDA WOWOTE AKIHITAJIKA; Ikiwa UCHI ndo lengo kuu, mwanaume yeyote duniani anapenda akiomba Kyuma apewe bila kuzungushwa, Anakuomba K Leo unampanga next week hilo ni kosa kubwa ambalo wanawake wengi hulifanyana, hiki ndicho kinachangia Wanaume wengi kuwa na backups, akiomba ukimrusha anaomba kwingine! Mwanaume linapofika suala UCHI anatakiwa kupewa haraka na popote almradi mpo salama; KUNA MSEMO MAMBO MATATU YA HARAKA YANAYOPASWA KUFANYIWA BINADAM KWA HARAKA ni. (a) Kuzikwa, (b) kuslimu, (c) MWANAUME KUPEWA PENZI ............. Hapa ndipo Madada POA wamewapiga bakora wanawake wengi, Mwanaume hata awe ni mbahili kiasi gani wakati anapotaka UCHI Huo ndo wakati wako wewe mwanamke kuomba chochote utapewa lakini wengi hawajui kuitumia hiyo fursa, Mwanaume akiwa kwenye mood ya kuomba Kyuma yupo tayari kuhonga hata nchi nzima!!
Kwahiyo kipaumbele cha mwanaume yeyote ni **** kwanza halafu hayo mengine anahitaji mda umuoneshe ndipo aamue!

Note; Siku mwanaume anapopewa KYUMA ndipo hayo mengine huanza kuyaangalia;Lakini ukimzungusha miezi sita bila kumpa K ukizani ameyazingatia umejidanganya

UKIMZUNGUSHA MWANAUME UNAJISUMBUA MWENYEWE
 
Duh!yaani mule mule hujaacha kitu.
"Mwanamke anayejua kuishi kwa amani na watu"

Nilishaacha mwanamke niliyedumu naye kwa miaka 3,yaani hapatani na mama mkwe bila hata sababu za msingi,kila mtu unayeishi naye nyumbani hachelewi kugombana naye kwa mambo ya ajabuajabu tu,
Mbishi.
Siyo msikivu.
Mfano akisikia tuhuma fulani kuhusu mume wake,hata ukeshe unamueleza namna ambavyo unasingiziwa hakubali,furaha yake ni kukusikia umekubali kosa na kukili hata kama unasingiziwa.
Nilikuwa nampenda sana huyo cheupe,lakini ilifika sehemu nikaona kama ndoa ipo hivyo mbona kazi ipo,
Kumbe nilikosea tu.
Mbona leo maisha yangu yana amani yakutosha.
Nina mwanamke mwenye sifa hizo hapo.
Asiye mbishi
Msikivu
Mwenye malengo,na mwenye kujua kuishi na wengine.

Never say never
 
Duh!yaani mule mule hujaacha kitu.
"Mwanamke anajua kuishi kwa amani na watu"

Nilishaacha mwanamke niliyedumu naye kwa miaka 3,yaani hapatani na mama mkwe bila hata sababu za msingi,kila mtu unayeishi naye nyumbani hachelewi kugombana naye kwa mambo ya ajabuajabu tu,
Mbishi.
Siyo msikivu.
Mfano akisikia tuhuma fulani kuhusu mume wake,hata ukeshe unamueleza namna ambavyo unasingiziwa hakubali,furaha yake ni kukusikia umekubali kosa na kukili hata kama unasingiziwa.
Nilikuwa nampenda sana huyo cheupe,lakini ilifika sehemu nikaona kama ndoa ipo hivyo mbona kazi ipo,
Kumbe nilikosea tu.
Mbona leo maisha yangu yana amani yakutosha.
Nina mwanamke mwenye sifa hizo hapo.
Asiye mbishi
Msikivu
Mwenye malengo,na mwenye kujua kuishi na wengine.

Never say never
hongera sana mwana chama la wana
 
Habari ya weekend!

Baada ya kuweka wazi katika Uchambuzi Wangu jana kwamba mwanamke hana kipaumbele katika kupenda;https://www.jamiiforums.com/threads...pende-hata-pesa-siyo-kipaumbele-chao.1572307/

Nilipokea text nyingi kutoka kwa wadada PM wakiomba nisiwe na upendeleo, Niweke wazi pia Vipaumbele vya Wanaume kama vipo!

Leo kwa heshima yao naomba niweke wazi kipaumbele cha Wanaume wote duniani wanachopenda kutoka kwa mwanamke;

Kiufupi Kipaumbele kikuu au Kitu kikubwa pekee mwanaume anachopenda kutoka kwa mwanamke ni UCHI (kümær);

Naomba kufafanua kama ifuatavyo!

Kama nilivyotaja kwenye jibu la msingi, Vipo vichagizo vingi vinavyoshabihisha kufanikisha, ingawa lengo kuu la mwanaume yeyote duniani anapohitaji mwanamke ni UCHI;

swali; Uchi Wa mwanamke yupi?

Majibu
; Nafafanua hapa;

Kama ilivyo kwa mgombea hakosi Wapambe, ndivyo Uchi Wa mwanamke anaependwa alivyo; nitataja sifa zinazozingatiwa chache;
  1. MVUTO: mwanaume yeyote anapenda mwanamke anaevutia, hapa kwenye mvuto ndipo wengine huangalia Makalio, matege,maziwa,macho,nywele, makengeza,shingo au miguu etc ..baadhi ya hivyo ndivyo huwa kama pambe tu wa kitu cha msingi ambacho ni UCHI
  2. ASIYE MBISHI; mwanaume anapenda mwanamke msikivu, anaepump juhudi za mumewe hata kama ni mbovu hupump na kushauri kwa akili, mfano 1; Bwana Mvuta bangi; Hapo mwanamke anatakiwa awe anasifu harufu ya bangi halafu baadae anamuelimisha Mme madhara ya bangi taratibu; mfano 2; Bwana mcheza mpira; Hapo mwanamke hapaswi kumkataza mumewe au kumponda mumewe hata kama hajui kucheza etc (connect happiness)
  3. MSIKIVU (Listener); mwanaume yeyote duniani anapenda mwanamke anaemsikiliza, sina maana usikilize kila kitu hapana, hapa namaanisha Yale mambo yanayowaunganisha tanguliza kumsikiliza kwanza bwana ako!
  4. MWENYE MALENGO; Hapa ndipo wanawake wengi wanafeli au kufaulu; Malengo anayotaka kuyasikia mumeo yanatakiwa yawe yenye bondi, yaani yasiwe ya kibinafsi, Muoneshe bwana ako unatamani familia yenu iweje, ukipata pesa utafanya nini cha kuongeza kwenye familia; Wanawake wengi hapa hufeli kwa ubinafsi, malengo yao yamejaa ubinafsi, Utasikia nikipata kazi nitanunua kabati langu,Gari langu, nyumba yangu etc Hapo usitarajie mwanaume atapenda upate kazi NEVER,
  5. MWENYE KUJUA KUISHI NA WATU WENGINE; mwanaume anaangalia mwanamke ambae anaeweza kuishi na watu wengine kwa aman!
  6. ASIYE NA KISIRANI (VIBES); Wanawake wengi hawajui kutofautisha kudeka na kisirani, Hakuna mwanaume anaevumilia kisirani, Wanaume wanapenda kuangalia mudi ya mwanamke katika hali zote (mood or honestly feelings at any given moments)
  7. ANAETOA PENZI MDA WOWOTE AKIHITAJIKA; Ikiwa UCHI ndo lengo kuu, mwanaume yeyote duniani anapenda akiomba Kyuma apewe bila kuzungushwa, Anakuomba K Leo unampanga next week hilo ni kosa kubwa ambalo wanawake wengi hulifanyana, hiki ndicho kinachangia Wanaume wengi kuwa na backups, akiomba ukimrusha anaomba kwingine! Mwanaume linapofika suala UCHI anatakiwa kupewa haraka na popote almradi mpo salama; Hapa ndipo Madada POA wamewapiga bakora wanawake wengi, Mwanaume hata ni mbahili wakati anapotaka UCHI Huo ndo wakati wako wewe mwanamke kuomba chochote utapewa lakini wengi hawajui kuitumia hiyo fursa, Mwanaume akiwa kwenye mood ya kuomba Kyuma yupo tayari kuhonga hata nchi nzima!!
Kwahiyo kipaumbele cha mwanaume yeyote ni **** kwanza halafu hayo mengine anahitaji mda umuoneshe ndipo aamue!

Note; Siku mwanaume anapopewa KYUMA ndipo hayo mengine huanza kuyaangalia;Lakini ukimzungusha miezi sita bila kumpa K ukizani ameyazingatia umejidanganya

UKIMZUNGUSHA MWANAUME UNAJISUMBUA MWENYEWE
Dah humu umecharaza ukweli mtupu, uzuri wanaume vipaumbele vyetu ni Universal. Hata ukimpigia simu Jet Li sahizi ukamuuliza anapenda mwanamke aweje atakujibu 90% ya vitu ambavyo umeviorodhesha humu! Nimelipenda sana hili bandiko mkuu!
 
Umejitahidi umeeleza vizuri %kubwa mambo uliyoyataja ndiyo mwanaume hupenda afanyiwe na mwanamke
 
Lengo kuu la kuoa na kuolewa ni kuzaa kwa ajili ya kuendeleza kizazi (Sex For Procreation), hiki ndo huwa kipaumbele na universal priority kwa jinsia zote.

Kama unabisha basi oa then mwanamke asizae kama hutimuacha regardless ya sifa lukuki alizonazo.
 
siyo kweli; ulichotaja siyo kipaumbele cha mwanaume, Bali umetaja matunda ya kufanya tendo la ndoa,
Cha mhimu kwanza kwa mwanaume yeyote ni UCHI, hayo mengine ni natunda tu; ndiyo maana kuna Wanaume wanakana Mimba maana siyo matarajio yao ya kwanza!
 
Back
Top Bottom